Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupoteza muda wako.Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Akili fupiNa kuwe na kambi mbalimbali za mafunzo ya awali kama ilivyo jeshi la wananchi na jkt kiujumla..
Hili la wote kupitia CCP Moshi huwafanya wote wawe na akili/upeo/reasoningna mtazamo mmoja kwenye mambo mtambuka .
No hate ushauri tu.
Akili fupi ya nani? Ya polisi, ya rais ama ya mtoa maoni?Akili fupi
Soma post # 3Akili fupi ya nani? Ya polisi, ya rais ama ya mtoa maoni?
Mjinga hata angekaa shule / chuo cha mafunzo miaka 10 hawezi badilika, cha msingi ni katiba mpya tuWeledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Hata wangepewa mafunzo kwa miaka kumi ila chini ya CCM Bado watageuzwa mateka tu!Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Polisi inatakiwa kuwa na mifumo miwili 1)police force na police justice..mfano ukienda kituo cha Polisi unatakiwa kuhudumiwa na police justice kama kutakuwa na uhitaji wa police force ndiyo utapewa ...unakuta mtu kaenda tutoa tu loss report anakutana na police force ? Wakazi gani ? Police justice wanatakiwa kusomea haki na sheria na uniform zao ziwe tofauti na police forceWeledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Loss report"Polisi inatakiwa kuwa na mifumo miwili 1)police force na police justice..mfano ukienda kituo cha Polisi unatakiwa kuhudumiwa na police justice kama kutakuwa na uhitaji wa police force ndiyo utapewa ...unakuta mtu kaenda tutoa tu rost report anakutana na police force ? Wakazi gani ? Police justice wanatakiwa kusomea haki na sheria na uniform zao ziwe tofauti na police force
Hao hata wakikaa kiaka 9 mafunzoni bado hakuna kitakacho badilika ikiwa tuu hawata tenganishwa na CCM.Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Unasemaaa?Acha kupoteza muda wako.
Polisi hawana tatizo lolote, tatizo lipo kwa wananchi wameshindwa kuleta katiba mpya
Huyu si mjinga tena, ni mpumbavuMjinga hata angekaa shule / chuo cha mafunzo miaka 10 hawezi badilika, cha msingi ni katiba mpya tu
Ndio maana waweza enda kwa nia njema kabisa wanaanza kukufokea bila sababu ndio maana mwisho wa siku hata mtoa taarifa mwema wanaweza kumpa misuko suko ndio maana hawapati ushirikiano wa hiyari hawaPolisi inatakiwa kuwa na mifumo miwili 1)police force na police justice..mfano ukienda kituo cha Polisi unatakiwa kuhudumiwa na police justice kama kutakuwa na uhitaji wa police force ndiyo utapewa ...unakuta mtu kaenda tutoa tu rost report anakutana na police force ? Wakazi gani ? Police justice wanatakiwa kusomea haki na sheria na uniform zao ziwe tofauti na police force
Na cha kuwatenganisha na CCM ni Katiba mpya!Hao hata wakikaa kiaka 9 mafunzoni bado hakuna kitakacho badilika ikiwa tuu hawata tenganishwa na CCM.
Hawa walitakiwa wateuliwe kwa kuzingatia taratibu za kijeshi sema wanaogopa kupinduliwaNa cha kuwatenganisha na CCM ni Katiba mpya!
Hawa jamaa wawe huru kisheria na kikanuni, wanasiasa wasiwe na nguvu ya kulikoromea jeshi la polisi, maana hii ndo inawafanya sisiem kulitumia kwa maslahi yao jeshi la polisi.
Imagine IGP anateuliwa na mwanasiasa (bi kizimkazi), senior officers wanapandishwa cheo na bi kizimkazi, waziri kwa mujibu wa sheria ya polisi ana uhalali wa kutoa maelekezo, ma-RPC kuteuliwa na kutenguliwa kwao ni maamuzi ya wanasiasa, sasa hili litakuwa jeshi au tawi la chama?
#KatibaMpya
Haya yote yanakuja sababu ya katiba mpya.Hawa walitakiwa wateuliwe kwa kuzingatia taratibu za kijeshi sema wanaogopa kupinduliwa