Mafunzo ya polisi yawe miaka 3 badala ya miezi 6. Ili kuboresha utendaji wa jeshi la polisi.

Mafunzo ya polisi yawe miaka 3 badala ya miezi 6. Ili kuboresha utendaji wa jeshi la polisi.

Hata ikiwa ya miaka 10, kama system ni corrupted hakuna kitakachofaa, kama wanachukuliwa vilaza hiyo miaka ni sawa na bure tu.
 
Hata wakiandaliwa kwa miaka 10 kwa mfumo wetu huu hakuna lolote Litakalobadilika.
 
Polisi wamekuwa UVCC na wote wanapata order kutoka CCM.
 
Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Hata wasome miaka kumi!
Mshika silaha huo anaona anauelewa kuliko asiye na silaha.
Ndio sababu,ukimnyanganya polisi silaha,jibu lake la mwisho ni kukimbia na kukuachia silaha
 
We unahisi ut
Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
endaji kazi ni mafunzo?
 
Yaani pesa ya mlipa kodi itumike miaka 3 kuandaa vilaza
 
Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Kwa kazi yao ya msingi ya KUSAIDIANA NA GREEN GUARD HIYO MIEZI 6 NI MINGI SANA,LABDA IPUNGUZWE.

Enewei,ulidhani kuna jukukumu gani ni gumu sana kiasi cha kuhitaji watu wenye ueledi wa MAFUNZO YA HIYO MIAKA 2?
 
Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Kutokana na uhitaji na resources za nchi hilo halitowezekana
Tufany kama japan
Kwanza mtaala wa mafunzo ufanyiwe marekebisho, pili doctorine ya mafunzo ibadilike kutoka force kuwa services.
Mchujo uwe mkali zaid ,elimu bar ipande from class 7, to form 4 div 3 na kuendelea. Miez 7 ya kozi, miez 6 ya kazi under supervision
Kwenye supervision asipo faulu ni nyumbani

Tubaki na cream only
 
Yaani pesa ya mlipa kodi itumike miaka 3 kuandaa vilaza
Zinatumika kulipa hao hao vilaza for 50 years? So lipi bora?
Mchujo uwe mkali vilaza wasipenye kabisa, au wapite hslafu uwalipe mpaka watakapo stasfu?
 
Ndio maana waweza enda kwa nia njema kabisa wanaanza kukufokea bila sababu ndio maana mwisho wa siku hata mtoa taarifa mwema wanaweza kumpa misuko suko ndio maana hawapati ushirikiano wa hiyari hawa
Ndiyo tatizo ...hakuna sababu ya askari kupokea report vituoni ...unakuta askari katoka alikotoka ana kisirani ndiyo yupo mapokezi unategemea nini ....police justice inatakiwa kuundwa na watu walio somea haki na sheria na mawakili ndiyo wawe wanausika kwenye vituo vya police mbele ya police force....kazi ya police force iwe ni kujulishwa,na police justice tukio wanalo takiwa kutumika wao kushughulika nalo ...mfano mwananchi katoa report ya ujambazi basi hapo police force wanapokea command kutoka kwa police justice kushughulikia hilo tatizo ....
 
Back
Top Bottom