Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hata wasome miaka kumi!Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
endaji kazi ni mafunzo?Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Kwa kazi yao ya msingi ya KUSAIDIANA NA GREEN GUARD HIYO MIEZI 6 NI MINGI SANA,LABDA IPUNGUZWE.Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Kutokana na uhitaji na resources za nchi hilo halitowezekanaWeledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
Zinatumika kulipa hao hao vilaza for 50 years? So lipi bora?Yaani pesa ya mlipa kodi itumike miaka 3 kuandaa vilaza
Ndiyo tatizo ...hakuna sababu ya askari kupokea report vituoni ...unakuta askari katoka alikotoka ana kisirani ndiyo yupo mapokezi unategemea nini ....police justice inatakiwa kuundwa na watu walio somea haki na sheria na mawakili ndiyo wawe wanausika kwenye vituo vya police mbele ya police force....kazi ya police force iwe ni kujulishwa,na police justice tukio wanalo takiwa kutumika wao kushughulika nalo ...mfano mwananchi katoa report ya ujambazi basi hapo police force wanapokea command kutoka kwa police justice kushughulikia hilo tatizo ....Ndio maana waweza enda kwa nia njema kabisa wanaanza kukufokea bila sababu ndio maana mwisho wa siku hata mtoa taarifa mwema wanaweza kumpa misuko suko ndio maana hawapati ushirikiano wa hiyari hawa