Mafunzo ya ushirikina kwa kutumia mshumaa na udi

Mafunzo ya ushirikina kwa kutumia mshumaa na udi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Mishumaa unawakilisha kipengele cha Moto (kitendo, shauku, kuangaza au kuangamiza vitu) wakati uvumba/udi kwa kawaida huwakilisha Hewa (wazo, mawazo, akili) au hewa + moto...

Katika biashara mahususi, tuna jozi ya mishumaa kuwakilisha Mungu na Mungu wa kike, mishumaa 4 kuwakilisha kila mwelekeo yaani pembe nne za dunia jozi nyingine ya mishumaa kuwakilisha upendo na uaminifu, ukweli na hisia
Kwenye vilinge pia tunatumia mishumaa iliyotengenezwa maalum ambayo inawakilisha uwepo wetu kwenye mduara wa dunia, kiapo cha uaminifu na dhabihu ya yamini ya kuingia kwenye madhabahu na kukubali kutumika na kutumikia
Mishumaa na rangi zake ina maana, tafsiri na kazi zisizofanana..
Udi/uvumba una harufu zisizofanana kulingana na mahitaji ya
Kujenga au kubomoa
Kulinda au kuharibu
Unajua kwanini moshi wake unapewa tafsiri ya akili?

Usikae mbali... Nimekumbuka kilingeni

8dc58974-13c4-4b5d-870e-17c1fbe65379.jpeg
 
Back
Top Bottom