Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Kabisa huku kunampendeza sanaHahahaha,Yale ya ubunifu wa meza na saa, aachane nao, arudi huku kilingeni kwake
Kabisa huku kunampendeza sanaHahahaha,Yale ya ubunifu wa meza na saa, aachane nao, arudi huku kilingeni kwake
Na ndiko alikojenga jina lake , mambo vipi za Eid Mubarak, RafikiKabisa huku kunampendeza sana
Poa kabisa.... khair Mubarak rafikiNa ndiko alikojenga jina lake , mambo vipi za Eid Mubarak, Rafiki
Minal Faidhina, karibu upate japo tende huku tukitazama Baraza la EidPoa kabisa.... khair Mubarak rafiki
Je huu mshumaa una weza kutumika kwanye biasharaMshumaa mweusi huleta ulinzi wa kiroho na kuzuia nguvu hasi. Una uwezo wa kuvunja laana na kukuimarisha dhidi ya mashambulizi ya kichawi . Mishumaa myeusi pia inahusishwa na mabadiliko , hivyo inaweza kukusaidia kuacha hisia hasi, majeraha ya zamani, na tabia mbaya.
View attachment 3288476
Tag hioo post mkuu tafadhariNa post nikaandka kabisa.. Kunatisha sanaaa
Anasahau watu wakiandika mambo ya tija wanatekwa mapema sana.Acha kudanganya watanzania,, kama hauna tija kwanini uloge?
Mzee wa kupenda attention.Not in every aspectView attachment 3289586
Ooh sawa,tunasubiriBado sana.. Muda ndio tatizo