Mafunzo ya ushirikina kwa kutumia mshumaa na udi

Mishumaa unawakilisha kipengele cha Moto (kitendo, shauku, kuangaza au kuangamiza vitu) wakati uvumba/udi kwa kawaida huwakilisha Hewa (wazo, mawazo, akili) au hewa + moto...

Katika biashara mahususi, tuna jozi ya mishumaa kuwakilisha Mungu na Mungu wa kike, mishumaa 4 kuwakilisha kila mwelekeo yaani pembe nne za dunia jozi nyingine ya mishumaa kuwakilisha upendo na uaminifu, ukweli na hisia
Kwenye vilinge pia tunatumia mishumaa iliyotengenezwa maalum ambayo inawakilisha uwepo wetu kwenye mduara wa dunia, kiapo cha uaminifu na dhabihu ya yamini ya kuingia kwenye madhabahu na kukubali kutumika na kutumikia
Mishumaa na rangi zake ina maana, tafsiri na kazi zisizofanana..
Udi/uvumba una harufu zisizofanana kulingana na mahitaji ya
Kujenga au kubomoa
Kulinda au kuharibu
Unajua kwanini moshi wake unapewa tafsiri ya akili?

Usikae mbali... Nimekumbuka kilingeni

View attachment 3286491
Seat ya mbele kabisa
 
Bro umeongea kitu ambacho hakipo Leo nenda kaibe basi mahali kama makanisani uamini Mungu yupo
Nomeongea kitu gani ambacho hakipo?

Nikiiba kanisano si hata walinzi wa kanisa tu wanaweza kunidhuru.

Nimeweka dau la dola za Marekani milioni tano, wachawi waje wachukue.

Wako wapi?
 
Man uchawi haupo kwenye tech na pesa za kwenye software ni untouchable but njoo kwenye fact uchawi upo hata mashuleni kuna wale wanafunzi kipindi cha Mitihani huona mauza uza this proves uchawi
 
Mishumaa unawakilisha kipengele cha Moto (kitendo, shauku, kuangaza au kuangamiza vitu) wakati uvumba/udi kwa kawaida huwakilisha Hewa (wazo, mawazo, akili) au hewa + moto...

Katika biashara mahususi, tuna jozi ya mishumaa kuwakilisha Mungu na Mungu wa kike, mishumaa 4 kuwakilisha kila mwelekeo yaani pembe nne za dunia jozi nyingine ya mishumaa kuwakilisha upendo na uaminifu, ukweli na hisia
Kwenye vilinge pia tunatumia mishumaa iliyotengenezwa maalum ambayo inawakilisha uwepo wetu kwenye mduara wa dunia, kiapo cha uaminifu na dhabihu ya yamini ya kuingia kwenye madhabahu na kukubali kutumika na kutumikia
Mishumaa na rangi zake ina maana, tafsiri na kazi zisizofanana..
Udi/uvumba una harufu zisizofanana kulingana na mahitaji ya
Kujenga au kubomoa
Kulinda au kuharibu
Unajua kwanini moshi wake unapewa tafsiri ya akili?

Usikae mbali... Nimekumbuka kilingeni

View attachment 3286491
Nimeshafanya yote haya, sasa kama nataka kuua kiongozi hapa nchini nafanyaje maana nimemchoka kwa ahadi za kijinga anazotupa.
 
Hilo linataka kafara kubwa sana maana naye hajakaa kizembe😂
 
Man uchawi haupo kwenye tech na pesa za kwenye software ni untouchable but njoo kwenye fact uchawi upo hata mashuleni kuna wale wanafunzi kipindi cha Mitihani huona mauza uza this proves uchawi
Uchawi haupo, na uthibitisho kuwa uchawi haupo ni fact kwamba watu wameshindwa kutumia uchawi kuchukua hizo dola milioni tano.

Uchawi ungekuwapo watu wangepiga hizo dola milioni tano kwa uchawi haraka sana.
 
Back
Top Bottom