Ruhinda jr
Senior Member
- Sep 13, 2024
- 108
- 135
Seat ya mbele kabisaMishumaa unawakilisha kipengele cha Moto (kitendo, shauku, kuangaza au kuangamiza vitu) wakati uvumba/udi kwa kawaida huwakilisha Hewa (wazo, mawazo, akili) au hewa + moto...
Katika biashara mahususi, tuna jozi ya mishumaa kuwakilisha Mungu na Mungu wa kike, mishumaa 4 kuwakilisha kila mwelekeo yaani pembe nne za dunia jozi nyingine ya mishumaa kuwakilisha upendo na uaminifu, ukweli na hisia
Kwenye vilinge pia tunatumia mishumaa iliyotengenezwa maalum ambayo inawakilisha uwepo wetu kwenye mduara wa dunia, kiapo cha uaminifu na dhabihu ya yamini ya kuingia kwenye madhabahu na kukubali kutumika na kutumikia
Mishumaa na rangi zake ina maana, tafsiri na kazi zisizofanana..
Udi/uvumba una harufu zisizofanana kulingana na mahitaji ya
Kujenga au kubomoa
Kulinda au kuharibu
Unajua kwanini moshi wake unapewa tafsiri ya akili?
Usikae mbali... Nimekumbuka kilingeni
View attachment 3286491
Bro umeongea kitu ambacho hakipo Leo nenda kaibe basi mahali kama makanisani uamini Mungu yupoNimetoa dili la kuchukua dola milioni tano za Kimarelani kwa kutumia uchawi.
Mmeshindwa.
Upo lakinUchawi hauhitaji ithibati za kibinadamu
Nomeongea kitu gani ambacho hakipo?Bro umeongea kitu ambacho hakipo Leo nenda kaibe basi mahali kama makanisani uamini Mungu yupo
Man uchawi haupo kwenye tech na pesa za kwenye software ni untouchable but njoo kwenye fact uchawi upo hata mashuleni kuna wale wanafunzi kipindi cha Mitihani huona mauza uza this proves uchawiNomeongea kitu gani ambacho hakipo?
Nikiiba kanisano si hata walinzi wa kanisa tu wanaweza kunidhuru.
Nimeweka dau la dola za Marekani milioni tano, wachawi waje wachukue.
Wako wapi?
Nimeshafanya yote haya, sasa kama nataka kuua kiongozi hapa nchini nafanyaje maana nimemchoka kwa ahadi za kijinga anazotupa.Mishumaa unawakilisha kipengele cha Moto (kitendo, shauku, kuangaza au kuangamiza vitu) wakati uvumba/udi kwa kawaida huwakilisha Hewa (wazo, mawazo, akili) au hewa + moto...
Katika biashara mahususi, tuna jozi ya mishumaa kuwakilisha Mungu na Mungu wa kike, mishumaa 4 kuwakilisha kila mwelekeo yaani pembe nne za dunia jozi nyingine ya mishumaa kuwakilisha upendo na uaminifu, ukweli na hisia
Kwenye vilinge pia tunatumia mishumaa iliyotengenezwa maalum ambayo inawakilisha uwepo wetu kwenye mduara wa dunia, kiapo cha uaminifu na dhabihu ya yamini ya kuingia kwenye madhabahu na kukubali kutumika na kutumikia
Mishumaa na rangi zake ina maana, tafsiri na kazi zisizofanana..
Udi/uvumba una harufu zisizofanana kulingana na mahitaji ya
Kujenga au kubomoa
Kulinda au kuharibu
Unajua kwanini moshi wake unapewa tafsiri ya akili?
Usikae mbali... Nimekumbuka kilingeni
View attachment 3286491
So ninahitaji nini au unaweza kunitizamia kama kajikinga dhidi ya kafara ninalotaka kumfanyia?Hilo linataka kafara kubwa sana maana naye hajakaa kizembeš
Uchawi haupo, na uthibitisho kuwa uchawi haupo ni fact kwamba watu wameshindwa kutumia uchawi kuchukua hizo dola milioni tano.Man uchawi haupo kwenye tech na pesa za kwenye software ni untouchable but njoo kwenye fact uchawi upo hata mashuleni kuna wale wanafunzi kipindi cha Mitihani huona mauza uza this proves uchawi
Naweza kupata ka link ka hio postNa post nikaandka kabisa.. Kunatisha sanaaa