Ccm itashinda kihalali Mkuu
Ccm itashinda kihalali Mkuu
Kama uhalali chaguzi za marudio na serikali za mitaa.
Bila msaada wa dola nyie ni wepesi kama karatasi.
Si umeona figisu za msajili wa vyama na sheria mpya za uchaguzi ,mawakala hawatapewa nakala ya matokeo ya kura vituoni unafikiri nini tafsiri yake.
tusubiri tuone!Ndio maana vibaraka wa mabeberu Nchi wanaiangalia kwenye t.v. tu
Hata mwanao anakushangaa!!!Mkuu Ccm haiitaji polisi wala tume acheni kujidanganya
Mkuu Ccm haiitaji polisi wala tume acheni kujidanganya
😆😆😆😆😆Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi.
Swali:Mafuriko hayo yako wapi?
Je,wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni, ndio hao ambao tuliambiwa wangesababisha mafuriko?
Na je,kaburi la CHADEMA liko wapi?
Watu wanaoendelea kuhamia CHADEMA kutoka vyama vingine kama kina Felix Mkosamali,wanatoa ujumbe gani kwa wanaodai CHADEMA inakufa?
Kwa sasa, tusubiri hatima ya kitisho kingine kutoka kwa watu walewale kuwa CHADEMA itaambulia wabunge wachache sana safari hii au isipate mbunge hata mmoja.
Jambo lingine,subirini kuona hamasa ya wananchi kwenye mikutano ya kampeni ya wapinzani huku nyie mkitegemea wasanii wa muziki wawasaidie kujaza mikutanon yenu.
Ukweli usiosemwa au kutojulikana kwa wengi:kuna mtu alifikiri mpaka tunaingia kwenye kampeni,upinzani utakuwa umeshasambaratika kabisa na kwamba asingepata tabu au ushindani wowote katika harakati zake za kurudi ofisini kwa awamu ya pili jambo ambalo mpaka sasa limefeli hivyo ajiandae kupambana kwani hakuna ushindi wa mezani hata akitangazwa mshindi.
Mungu si Magu!
Ccm itashinda kihalali Mkuu
Mkuu upo sahihi mpaka policcm wanatumika ni kulegea haswaMkuu upinzani wa awamu hii umelegea mithiri ya mlenda
Hv huyu na yule ni ndugu.@Bia yetu
Mtasubiri sanaPompeo is watching closely.
shangazi, angalia mtu asije ku "gadafiwa" kwa sababu ya "goli la Nape" October maana beberu si mtu!
Hilo lipo wazi bila dola nyie ni wepesi sana, Kesho ni njema kuliko jana wananchi wamechoka na porojo zenu.
Utakufa utaiacha CHADEMA bado inapetaMatokeo utayaona October
Chadema bai bai
Wabunge wote active wamebaki. Zile takataka ambazo zilishajijua kuwa hazitoboi ndiyo zilijiengua kuepuka aibu ya kukataliwa.Ccm sio Kokoro
Waliobaki huko wamekataliwa kurudi Ccm
Mbeleko hii itawabeba CCMCcm itashinda kihalali Mkuu
Ni mtu mmojaHv huyu na yule ni ndugu.
Umegonga msumari kwenye dole gumbaHata mwanao anakushangaa!!!
Kanisa lenu litakuwa la majuha!Tujipe muda arifu. Mimi mchungaji wangu alisema kwenye maono yake ameona Mbowe akiwa mgombea mwenza wa Magufuli kupitia ccm