Mafuriko wa Wabunge wa Upinzania kuhamia CCM: Baada ya Bunge kuvunjwa,wabunge wa Upinzani waliomiminika kwenda CCM wako wapi?

Mafuriko wa Wabunge wa Upinzania kuhamia CCM: Baada ya Bunge kuvunjwa,wabunge wa Upinzani waliomiminika kwenda CCM wako wapi?

Mkuu Ccm haiitaji polisi wala tume acheni kujidanganya
Bila msaada wa dola nyie ni wepesi kama karatasi.

Si umeona figisu za msajili wa vyama na sheria mpya za uchaguzi ,mawakala hawatapewa nakala ya matokeo ya kura vituoni unafikiri nini tafsiri yake.
 
Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi.

Swali:Mafuriko hayo yako wapi?

Je,wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni, ndio hao ambao tuliambiwa wangesababisha mafuriko?

Na je,kaburi la CHADEMA liko wapi?

Watu wanaoendelea kuhamia CHADEMA kutoka vyama vingine kama kina Felix Mkosamali,wanatoa ujumbe gani kwa wanaodai CHADEMA inakufa?

Kwa sasa, tusubiri hatima ya kitisho kingine kutoka kwa watu walewale kuwa CHADEMA itaambulia wabunge wachache sana safari hii au isipate mbunge hata mmoja.

Jambo lingine,subirini kuona hamasa ya wananchi kwenye mikutano ya kampeni ya wapinzani huku nyie mkitegemea wasanii wa muziki wawasaidie kujaza mikutanon yenu.

Ukweli usiosemwa au kutojulikana kwa wengi:kuna mtu alifikiri mpaka tunaingia kwenye kampeni,upinzani utakuwa umeshasambaratika kabisa na kwamba asingepata tabu au ushindani wowote katika harakati zake za kurudi ofisini kwa awamu ya pili jambo ambalo mpaka sasa limefeli hivyo ajiandae kupambana kwani hakuna ushindi wa mezani hata akitangazwa mshindi.

Mungu si Magu!
😆😆😆😆😆
 
Ccm itashinda kihalali Mkuu
2202094_Screenshot_2019-11-03-12-57-23.png
 
Umesema " Watu wanaoendelea kuhamia CHADEMA kutoka vyama vingine kama kina Felix Mkosamali,wanatoa ujumbe gani kwa wanaodai CHADEMA inakufa?"

Ukitaka kujua hali dhaifu ni uonapo mapigo ya moyo yakififia, katika miezi 6 iliyopita waliohamia chadema ni Mkosamali, na waliohama ni na kwenda vyama vingine ni wengi sana, hiyo pekee ni hali mbaya ya Afya.

Pia uonapo chama kinatetewa na Dagaa mitandaoni basi hiyo nayo ni dalili za kukosa nguvu.

Ukiona chama kinakodisha Askari wa kukodishwa kama akina KIGOGO, na wakajikita katika siasa za matusi na kuwakashifu wanyonge ama wasio na nguvu ya kujitetea , kama wasicha, akina mama , basi ujue hali ni tete
 
Back
Top Bottom