Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Hoja haipigwi rungu bali hujibiwa kwa hoja. Ulipaswa uje na tathmini kuwa kwanini watia nia wengi wameamua kugombea kupitia CCM na sio vyama vingine, **** hulioni hili kuwa ni ushahidi wa wazi wa nguvu ya CCM.Huyu naye anajiita dokta, rubbish
Waiter ongeza ice
Kuna udaktari wa aina ngapi ww unaoujua?We Dkt wa PhD au kama Msukuma?
Wanatafuta ajira wakawanufaishe wake zso na watoto waoNimepitia mitandao ya kijamii leo, na habari zilizotamalaki ni makada wa CCM kuchukua fomu. Ni wazi sasa wimbo wa "Tunazima zote, tunawasha kijani" leo umepata maana halisi.
Mwitikio huu mkubwa unatoa uthibitisho wa ukweli wa takwimu kuwa hiki ndicho chama chenye wanachama wengi zaidi nchini. Mtakumbuka, katika mkutano mkuu wa CCM uliopita, Mwenyekiti wa CCM taifa, alieleza kuwa mpaka wakati huo CCM ilikuwa na wanachama milioni 13.
Kugombea ni mradi, kunahitaji tathmini ya uwezekano wakufikia safari yako ya matumaini. Ukianza safari ya kutafuta udiwani, ubunge na hata urais ni lazima upande gari imara kujihakikishia safari yenye mafanikio, ukipanda bovu, hufiki! Utitiri wa watia nia kuchukua fomu CCM ni ushahidi wa wazi kuwa wanaamini chama chenye uhakika wa kuwafikisha kwenye ndoto zao za uongozi ni CCM.
Vyama vya upinzani vinao wajibu wakujifunza kutoka CCM namna bora ya kuvijenga vyama vyao kuwa taasisi imara za kisiasa. Wahenga walitufunza, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Nawatakia kila la kheri watia nia wote, ndani na nje ya CCM. Ni imani yangu wagombea wa CCM watafanya vizuri katika uchaguzi huu.
Ma Dr wa Tanzania, nchi ina Ma Dr wengi sana yaani ilipaswa tuwe tuna hata techinolojia ya kuunda pini lakini wapiHuyu naye anajiita dokta, rubbish
Waiter ongeza ice
Mkuu mm uchaguzi huu sijachukua, nitashiriki kwa kuwaombea kura wagombea wa CCM.vipi wewe mkuu hujachukua fomu?
Kwahiyo tuache wagonjwa tukatengeneze pini sasa?Ma Dr wa Tanzania, nchi ina Ma Dr wengi sana yaani ilipaswa tuwe tuna hata techinolojia ya kuunda pini lakini wapi
Kwa kweli sijaona hoja yoyote kwenye post yako, yeyote mwenye akili timamu atanisaidia kuona hili piaHoja haipigwi rungu bali hujibiwa kwa hoja. Ulipaswa uje na tathmini kuwa kwanini watia nia wengi wameamua kugombea kupitia CCM na sio vyama vingine, **** hulioni hili kuwa ni ushahidi wa wazi wa nguvu ya CCM.
Wangetembea nchi za wenzetu waone namna watu wenye hizi title wanazipata kwa akili na wanazitendea haki, na namna zinaheshimiwaMa Dr wa Tanzania, nchi ina Ma Dr wengi sana yaani ilipaswa tuwe tuna hata techinolojia ya kuunda pini lakini wapi
RubishHoja haipigwi rungu bali hujibiwa kwa hoja. Ulipaswa uje na tathmini kuwa kwanini watia nia wengi wameamua kugombea kupitia CCM na sio vyama vingine, **** hulioni hili kuwa ni ushahidi wa wazi wa nguvu ya CCM.
Nani alimua mzee Ally kibaoHoja haipigwi rungu bali hujibiwa kwa hoja. Ulipaswa uje na tathmini kuwa kwanini watia nia wengi wameamua kugombea kupitia CCM na sio vyama vingine, **** hulioni hili kuwa ni ushahidi wa wazi wa nguvu ya CCM.