Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru tafadhali sana 🤣 na wasipojiuzuru tutaitisha maandamano
