Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si aje tumpe maji ya bwawa letu limejaaaDunia nzima imekumbwa na madhara ya kila aina kwa sasa
Hali ya hewa imebadilika sana sehemu nyingi
Kuna sehemu mwezi huu kawaida hali ya hewa kuwa 20° ila leo ni 8° kila mtu na koti kubwa
Ecuador kuna ukame mpaka bwawa lao limepungua maji mpaka kubaki 30% tu na waziri wa Nishati ameisha fukuzwa kazi kwa tuhuma za uhujumu akiwa na genge lake la mafisadi
Mungu anajivunia sana mwafrika kuliko jamii yoyote dunianiMiafrika ndivyo tulivyo - (Nukuu toka signature ya Nyani Ngabu )
Wamehujumu hao ni genge kubwa kwenye wizara yaoSi aje tumpe maji ya bwawa letu limejaaa
Hapana ni ccm inasababisha mafuriko hata huko Dubai wanailalamikia ccm
Endelea kuanzisha sledi nyingine tuzidi kukuwamba kwenye kipago ili utueleze zaidi kwa nini na utajiri wao haufiki na huku nchini wakati tuna hali za hewa zifananazo.Hakuna msichokosoa kuwanyamazia ni kuwaendekeza na kuwafanya muwe wajinga
Ha ha ha😎Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru tafadhali sana 🤣 na wasipojiuzuru tutaitisha maandamano