Naona Mafuriko ya huko yanatumika kama.cover ya kukwepa uwajibikaji na uzembe wa Mamlaka kudhibiti Mafuriko yaliyochagizwa na bwawa 😂😂👇👇Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru tafadhali sana 🤣 na wasipojiuzuru tutaitisha maandamano
Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru tafadhali sana 🤣 na wasipojiuzuru tutaitisha maandamano
🤣🤣Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru tafadhali sana 🤣 na wasipojiuzuru tutaitisha maandamano

naunga mkojo hoja ya furumusha jiwe gizani technicalySio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii lazima serikali iwajibike ipasavyo ! Mawaziri wa nishati lazima wajiuzuru hata waziri mkuu ajiuzuru tafadhali sana 🤣 na wasipojiuzuru tutaitisha maandamano
Miafrika ndivyo tulivyo - (Nukuu toka signature ya Nyani Ngabu )Daaaa!! Mwafrika, mwafrikaaa!! Kiumbe cha ajabu kuwepo duniani, somtimes Mungu mwenyewe huwa anajishangaa hivi hiki kiumbe kilitoka wapi?!! Kwa akili kama hizi
Daaaa!! Wala hata cjawahi iona, kumbe wengi wanalijua hilo!!Miafrika ndivyo tulivyo - (Nukuu toka signature ya Nyani Ngabu )