Mafuriko yaliyotokea Dubai na tehran juzi na Jana yamesababishwa na bwawa la mwalimu Nyerere! viongozi wetu wamekosa umakini !

Si aje tumpe maji ya bwawa letu limejaaa
 
Ukikosolewa pokea ushauri hata kwa kukaa kimya tu.Kuanza kujitutumua unazidi kutoa mwanya na kuufunua udhaifu wako.Kwani kila kitu ni lazima ubishane?
Hakuna msichokosoa kuwanyamazia ni kuwaendekeza na kuwafanya muwe wajinga
 
Hapana ni ccm inasababisha mafuriko hata huko Dubai wanailalamikia ccm

Kwamba huo ndiyo utetezi wenu bora kabisa? Kwa hakika hata vijijini Mloka huko, hawata danganyika!
 
Hakuna msichokosoa kuwanyamazia ni kuwaendekeza na kuwafanya muwe wajinga
Endelea kuanzisha sledi nyingine tuzidi kukuwamba kwenye kipago ili utueleze zaidi kwa nini na utajiri wao haufiki na huku nchini wakati tuna hali za hewa zifananazo.
 
Ha ha ha😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…