Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Watatangaza tu usijali unafkili watakaa nalo mpaka lini?Watangaze tu jamani
Sorry,mnaongelea nini? Mafuriko hayahaya au kuna kingine?Watatangaza tu usijali unafkili watakaa nalo mpaka lini?
Kwani thread inasemaje?Sorry,mnaongelea nini? Mafuriko hayahaya au kuna kingine?
Naona kuna kitu hebu tusubiri...itakuwa kama kipindi kileeeeSorry,mnaongelea nini? Mafuriko hayahaya au kuna kingine?
Nini tena jameni?Watatangaza tu usijali unafkili watakaa nalo mpaka lini?
Huko maji yatakuwa yametokea milima ya lumbiji huko kushukaVipi Leo hakuna mlima ulio lipuka?
Chuma kilitangaza Lupaso usiku huo huoWatangaze tu jamani