Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Desemba 5, 2023 imesababisha mafuriko katika maeneo ya Rudewa ambayo ni Kata, Wilani Kilosa katika Mkoa wa Morogoro.
Nyumba kadhaa zimeanguka na baadhi ya mali zimeharibiwa kutokana na mafuriko hayo.
Kwa sasa mvua imekatika lakini maji yanaendelea kutiririka kutoka maeneo ya milima.
Nyumba kadhaa zimeanguka na baadhi ya mali zimeharibiwa kutokana na mafuriko hayo.
Kwa sasa mvua imekatika lakini maji yanaendelea kutiririka kutoka maeneo ya milima.