Mafuriko yatokea Rudewa Mkoani Morogoro leo Desemba 5, 2023

Mafuriko yatokea Rudewa Mkoani Morogoro leo Desemba 5, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Desemba 5, 2023 imesababisha mafuriko katika maeneo ya Rudewa ambayo ni Kata, Wilani Kilosa katika Mkoa wa Morogoro.

Nyumba kadhaa zimeanguka na baadhi ya mali zimeharibiwa kutokana na mafuriko hayo.

Kwa sasa mvua imekatika lakini maji yanaendelea kutiririka kutoka maeneo ya milima.







7eda820b-8b4f-4398-a7f4-f9fc7f3dc8fc.jpeg

508ac2c1-a048-4434-be53-eef7a165de6c.jpeg

 
Mbona kama nyumba zipo bondeni hizo...

Kwenye moja ya video clip inaonekana raia wapo juu barabarani ambapo hakuna maji kabisa...
 
"Bondeni sihami hayo maji yaje tu."
Alisikika mtanzania masikini.
 
Back
Top Bottom