Mafuta au lotion nzuri inayongarisha ngozi na siyo kuchubua

Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.

Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.

NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Achana na malotioni bakiza hiyo rangi asili nyeusi😁
 
Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.

Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.

NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Kwa ngozi yako hiyo hpm kwa Kweli ni tabu tuupu
 
Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.

Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.

NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Dalili mbaya sana kwa Mwanaume Rijali kuuliza Vitu vyenye mlengo wa akina Juma Lokole. Yaani mwanaume timilifu anayewaza sawa sawa hawezi kuuuliza huu ushubwada. Huyu Mchizi kaungana na Mtopolo mwenzake yaani tayari ni TIMU KABWILI maaaaamae Papa katuharbia vijana. Shiiiiit
 
Kama una uso Wa mafuta usitumie mafuta wala lotion tafuta lemon facial cleanser nenda mwenge Yale maduka ya vipodozi au s.h.amon, unaweka kidogo kwenye pamba unasafisha uso kwa kuzungusha duara hivi kwa viganja, hii itasaidia kupunguza mafuta usoni.
SHUKURANI MKUU.
 
Mafuta yanategemea na aina ya ngozi. Anayotumia mtu mwingine yakamng"arisha yanaweza yasifanye hivyo kwako.
 
Dalili mbaya sana kwa Mwanaume Rijali kuuliza Vitu vyenye mlengo wa akina Juma Lokole. Yaani mwanaume timilifu anayewaza sawa sawa hawezi kuuuliza huu ushubwada. Huyu Mchizi kaungana na Mtopolo mwenzake yaani tayari ni TIMU KABWILI maaaaamae Papa katuharbia vijana. Shiiiiit
Dah we Jamaa ngoja nikuache jamaa angu

Nisikujibu nitapigwa BAN.
 
Mafuta yanategemea na aina ya ngozi. Anayotumia mtu mwingine yakamng"arisha yanaweza yasifanye hivyo kwako.
Ndiyo maana nikauliza wakulugwa maana huwa najiapaka MAFUTA natoka chunusi mno Sasa nikaacha kupaka naenda job nimepauka mno.

Ndiyo maana nikaja humu kuuliza Kama Kuna MAFUTA naweza jipaka yasiyochubua.
 
Mafuta ya mgando yanatoa sana chunusi, tumia hiyo lemon ni nzuri pia kwa wenye chunusi.
 
Ndiyo maana nikauliza wakulugwa maana huwa najiapaka MAFUTA natoka chunusi mno Sasa nikaacha kupaka naenda job nimepauka mno.

Ndiyo maana nikaja humu kuuliza Kama Kuna MAFUTA naweza jipaka yasiyochubua.
uliyoshauriwa jaribu moja baada ya nyingine hadi upate inayokufaa.
 
Back
Top Bottom