Mafuta au lotion nzuri inayongarisha ngozi na siyo kuchubua

Maji ya kunde wapi mkuu wakati unaonekana mweusi tiii kama oil chafu.

Hata kama hapo kwenye avatar sio wewe ila naamini avatar uliyoiweka inaakisi uhalisia wako ulivyo.

Wewe achana na mafuta hiyo sura ngumu sana haitang'arishwa na mafuta ya aina yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii hizi dhambii khaaaah
 
Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.

Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.

NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Kwa asili ngozi ya mwanaume haing'ai na haitakiwi we mwanamke akupende tu ivoivo kama hawezi bhas
 
Maji ya kunde wapi mkuu wakati unaonekana mweusi tiii kama oil chafu.

Hata kama hapo kwenye avatar sio wewe ila naamini avatar uliyoiweka inaakisi uhalisia wako ulivyo.

Wewe achana na mafuta hiyo sura ngumu sana haitang'arishwa na mafuta ya aina yoyote.
Eee Mungu wangu😂😂😂… cocastic umemskia huyu jamaa
 
Nenda katafte vitamin c supplements nakushauri tumia NAT C kampuni ya Mega pia kula mboga mboga za kutosha then tumia lotion ya Rinju Ile brown jitahid ununue lotion OG
 
Maji ya kunde wapi mkuu wakati unaonekana mweusi tiii kama oil chafu.

Hata kama hapo kwenye avatar sio wewe ila naamini avatar uliyoiweka inaakisi uhalisia wako ulivyo.

Wewe achana na mafuta hiyo sura ngumu sana haitang'arishwa na mafuta ya aina yoyote.
NYANKUNDO [emoji41]
 
Back
Top Bottom