NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Mwanangu KANJI kanipausha sana mkuu nataka nijipake MAFUTA mkuu kuwa na amani tu [emoji16]Kimekupata nn ndugu yangu NALIA NGWENA mambo ya kutaka lotion mbona unanitia mashaka na muenendo wako
SHUKURANI MKUU.Mafuta ya reys
Achana na malotioni bakiza hiyo rangi asili nyeusi😁Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.
Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.
NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Asante mkuu.Top lemon
Mafuta ya kondooo1😀SHUKURANI MKUU.
Kwa ngozi yako hiyo hpm kwa Kweli ni tabu tuupuWakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.
Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.
NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
WEWE JAMAA HII INACHUBUA MKUUClair Men utakuja kunishukuru
Kama una uso Wa mafuta usitumie mafuta wala lotion tafuta lemon facial cleanser nenda mwenge Yale maduka ya vipodozi au s.h.amon, unaweka kidogo kwenye pamba unasafisha uso kwa kuzungusha duara hivi kwa viganja, hii itasaidia kupunguza mafuta usoni.Maji ya kunde mkuu.
Dalili mbaya sana kwa Mwanaume Rijali kuuliza Vitu vyenye mlengo wa akina Juma Lokole. Yaani mwanaume timilifu anayewaza sawa sawa hawezi kuuuliza huu ushubwada. Huyu Mchizi kaungana na Mtopolo mwenzake yaani tayari ni TIMU KABWILI maaaaamae Papa katuharbia vijana. ShiiiiitWakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.
Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.
NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Kwani mkuu hii haiwezi kumelemeta.Kwa ngozi yako hiyo hpm kwa Kweli ni tabu tuupu
SHUKURANI MKUU.Kama una uso Wa mafuta usitumie mafuta wala lotion tafuta lemon facial cleanser nenda mwenge Yale maduka ya vipodozi au s.h.amon, unaweka kidogo kwenye pamba unasafisha uso kwa kuzungusha duara hivi kwa viganja, hii itasaidia kupunguza mafuta usoni.
Dah we Jamaa ngoja nikuache jamaa anguDalili mbaya sana kwa Mwanaume Rijali kuuliza Vitu vyenye mlengo wa akina Juma Lokole. Yaani mwanaume timilifu anayewaza sawa sawa hawezi kuuuliza huu ushubwada. Huyu Mchizi kaungana na Mtopolo mwenzake yaani tayari ni TIMU KABWILI maaaaamae Papa katuharbia vijana. Shiiiiit
Ndiyo maana nikauliza wakulugwa maana huwa najiapaka MAFUTA natoka chunusi mno Sasa nikaacha kupaka naenda job nimepauka mno.Mafuta yanategemea na aina ya ngozi. Anayotumia mtu mwingine yakamng"arisha yanaweza yasifanye hivyo kwako.
Weka msaaada kwani ya kwenye avatar haiwezi kupaka MAFUTA ikang'aa na kumelemeta.Kwa hiyo sura ya kwenye avatar au nyingine?
Ni ya mgando mkuuHii vaseline ni lotion??
Mafuta ya mgando yanatoa sana chunusi, tumia hiyo lemon ni nzuri pia kwa wenye chunusi.Ndiyo maana nikauliza wakulugwa maana huwa najiapaka MAFUTA natoka chunusi mno Sasa nikaacha kupaka naenda job nimepauka mno.
Ndiyo maana nikaja humu kuuliza Kama Kuna MAFUTA naweza jipaka yasiyochubua.
Nimeona km yatadunda alafu utaanza kutuona tuliokushauri waongo….!!!!Weka msaaada kwani ya kwenye avatar haiwezi kupaka MAFUTA ikang'aa na kumelemeta.
uliyoshauriwa jaribu moja baada ya nyingine hadi upate inayokufaa.Ndiyo maana nikauliza wakulugwa maana huwa najiapaka MAFUTA natoka chunusi mno Sasa nikaacha kupaka naenda job nimepauka mno.
Ndiyo maana nikaja humu kuuliza Kama Kuna MAFUTA naweza jipaka yasiyochubua.