Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,050
Kwani hakuna wanaume wanaopaka mafuta na lotion mkuu? Ushawahi ishi njombe au iringa usipopaka mafuta lazima ngozi ichanike au ibabuke kwa baridi na lotion lazima uchanganye na griseline huko watu wote bila kujali jinsia wanapaka mafuta mwenye lips ili lips zisichanike, njombe hasa ludewa mafuta ya mgando yanapakwa hadi kwenye unyayo ili kuzuia funza.Dalili mbaya sana kwa Mwanaume Rijali kuuliza Vitu vyenye mlengo wa akina Juma Lokole. Yaani mwanaume timilifu anayewaza sawa sawa hawezi kuuuliza huu ushubwada. Huyu Mchizi kaungana na Mtopolo mwenzake yaani tayari ni TIMU KABWILI maaaaamae Papa katuharbia vijana. Shiiiiit
ACHANA NALO HILO LINAZANI KWA KUA LENYEWE LINAZIBURIWA MTARO BASI KILA MTU ANAFANYA HUO UPUMBAVU.Kwani hakuna wanaume wanaopaka mafuta na lotion mkuu? Ushawahi ishi njombe au iringa usipopaka mafuta lazima ngozi ichanike au ibabuke kwa baridi na lotion lazima uchanganye na griseline huko watu wote bila kujali jinsia wanapaka mafuta mwenye lips ili lips zisichanike, njombe hasa ludewa mafuta ya mgando yanapakwa hadi kwenye unyayo ili kuzuia funza.
ACHA UMAKU KAMA HUNA CHA KUCHANGIA KAA KIMYA.Jaribu kuwasiliana na Papa Francis akubariki kwanza halafu atakuunganisha na watu wenye uzoefu na hayo mambo watakushauri.
SHUKURANI MKUU.Ni ya mgando mkuu
SHUKURANI MKUU NIKIPAKA MAFUTA NATOKA MACHUNUSI MENGI HALAFU NIKIACHA NAPAUKA SANA NDIYO MAANA NIKAONA NIJE KWENU WATAALAMU.Mkuu kwanza hongera Kwa kua na hiyo rangi kwenye avatar,ni rangi nzuri sana,usitumie losheni,badala yake tumia mafuta ya nazi mfano parachute,uchanganye kidogo na mafuta ya mgando,unapaka Kwa pamoja,utang'aa vema tu.
Kwahiyo unachagua watu wa kukujibu! Punguza hasira wasiliana na huyo mtu utapata ufumbuzi wa tatizo lako.ACHA UMAKU KAMA HUNA CHA KUCHANGIA KAA KIMYA.
KWA KUA WEWE UNAZIBULIWA MTARO NDIYO UNADHANI KILA MTU ANAZIBUA MTARO TAFUTA WAZIBUA MITARO WAKUZIBUE.
MIMI HUWA NAIPAKA KWENYE MJULIBENGI (MTALIMBOO) NAPOTAKA KUKUKANYAGIA SHUBAMITI WEWE.nyie madogo ndio wale mnapaka matako losheni
POA MKUU NISHACHUKUA HII MAANA MAONI YA WATU WENGI WAMESEMA HAYA NDIYO YENYEWEIshi na vaseline ya mgando.
Mm mwenyewee nimejiuuliza kwa uzo huo hapn kwa Kweli lzma aende utauruki tu akabadiloshwa ngoZiKwa hiyo sura ya kwenye avatar au nyingine?
[emoji16]Mm mwenyewee nimejiuuliza kwa uzo huo hapn kwa Kweli lzma aende utauruki tu akabadiloshwa ngoZi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We wa kiume au wakike