Mafuta au lotion nzuri inayongarisha ngozi na siyo kuchubua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii hizi dhambii khaaaah
 
Wakuu habari za kazi, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji jina la MAFUTA au lotion inayong'arisha ngozi bila ya kuchubua.

Ngozi ibaki hivyo hivyo natural isichubuke.

NB: NGOZI YANGU INA MAFUTA SANA HASWA USONI.
Kwa asili ngozi ya mwanaume haing'ai na haitakiwi we mwanamke akupende tu ivoivo kama hawezi bhas
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti kama hawezi basi.
Ndiyo maana now days wanaume wamekuwa wa ku-degrade uwanaume wao ili wawavutie wanawake siyo mda mref atajikuta amenyonya na vagina bure
 
Eee Mungu wangu😂😂😂… cocastic umemskia huyu jamaa
 
Nenda katafte vitamin c supplements nakushauri tumia NAT C kampuni ya Mega pia kula mboga mboga za kutosha then tumia lotion ya Rinju Ile brown jitahid ununue lotion OG
 
NYANKUNDO [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…