Mafuta gani mazuri kwa ajili ya ngozi ya uso tu?

Mafuta gani mazuri kwa ajili ya ngozi ya uso tu?

d6ce8a286ed4feced550e2c0e9daa3d6.jpg
d89c97856a79e361166a2978205a9929.jpg


Call her 0714547830
25000/=
 
sijui bwana ndo natumia siku zote naona yapo tu fresh nina vitube viwili hapa tena naona vimeandikwa tofauti sijui original ni kipi na fake ni kipi ila nilinunua vyote village
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hujui fake wala og, naomba picha yake ila fake zinawaathir sana wenye oil skin na watu weupe
 
Mimi sikuzote ninaamini mafuta ya vitu asilia kama cocoa butter, shear butter, avocado butter, au vaseline.
aisee niwape umbea chukua vaseline ya kutosha kila siku usiku paka matiti plus olive oil halafu mlete mrejesho hapa
Wafanya biashara utawaweza na the so called "original". Wanatumia mgongo wa "ni original" kupiga watu.
Habari waungwana
Tuambizane ni mafuta gani mazuri kwa kutumia usoni kwa normal and dry skin.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Hujui fake wala og, naomba picha yake ila fake zinawaathir sana wenye oil skin na watu weupe
 
Back
Top Bottom