Mafuta gani mazuri kwa ajili ya ngozi ya uso tu?

Mafuta gani mazuri kwa ajili ya ngozi ya uso tu?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] shoga ntaanza kesho alafu nikupe mrejesho
yaani vaseline ni ya muhimu mmno paka na kibupa na makwapa saa ya kulala na chura .unakuwaje mcharoo
Napitwaje sasa kwa mfano[emoji13]
Yanasaidia nini mamii?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] shoga ntaanza kesho alafu nikupe mrejesho
Mimi sikuzote ninaamini mafuta ya vitu asilia kama cocoa butter, shear butter, avocado butter, au vaseline.
 
Back
Top Bottom