Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

Lotion zake ni beigan nijaribu maana sipend lotion Kali
Kutegemea na size na aina ila zipo za kuanzia elfu 9 (au elfu 8 nimesahau) ndogo ya Mil 250 kama hii.
PXL_20241201_092513395.jpg

Kubwa yake nakumbuka 18-20k.

Nasemea bei za Shoppers so unaweza kutq maduka mengine expensive kidogo zaidi
 
Parachute kwa upande wangu, kama hauna mambo mengi ni mafuta bora......
 
Nivea-Cocoa-Butter-Dry-Skin-Body-Lotion-With-Deep-Moisture-Serum-400ml-1.jpg

Mwakani naanza na bidhaa za Nivea tu. Deodorant, Bar soap, lotion, Petroleum Jelly na kama ikiwezekana hadi mafuta ya nywele pia.
 
Back
Top Bottom