Underwood
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 1,909
- 3,120
Ngozi yako ni kavu au ya mafuta?
Ngozi kavu unatushaurije boss.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngozi yako ni kavu au ya mafuta?
Ngozi kavu unatushaurije boss.?
Ni kweli kabisa, jamaa wako vizuri me walinipa mafuta mpaka leo sijajuta.Nendeni S.H Amon mkakutane na wataalam wa Ngozi wawape products kulingana na ngozi zenu
Yalinitoa manundu mafuta haya sina hamu nayoView attachment 2281377View attachment 2281378
Utafurahi sana chief.
Bei yake inategemea na ulipo ila kwa DSM ni 30k
Unachokitafuta hakipo na hakijawahi kuwepo.Habari zenu wapendwa.
Nimekua nikihangaika nipake mafuta gani usoni yasiyo na kemikali nakosa jibu. Uso wangu Mimi una mafuta rangi yangu ni brown.
Kwa ambaye ana ngozi na rangi Kama yangu akatumia kitu kikamfanya awe soft aniambie na Mimi nijaribu.
Sitaki kubadili rangi nataka niwe soft.
Msaada please.
Nawatakia Eid njema.
Yalinitoa manundu mafuta haya sina hamu nayo
Pesa ngapi hayaNjoo inbox tuyajenge, haya ndo mafuta halisi kwa nhozi yakoView attachment 2279407
Duuh hongera...mimi natafuta ya kukausha ngozi kwani nina mafuta sana usoniNgoja niivamie message alieulizwa hayupo. Binafsi ngozi yangu ni kavu kabisa natamani nipate mafuta yatakayoifanya iwe na unyevunyevu.
My love, uko poa?Cocoa butter formula (Palmer's)
Nko poa kabisa mkuuMy love, uko poa?
Ngozi ya mafuta hapaki hayo?View attachment 2281377View attachment 2281378
Utafurahi sana chief.
Bei yake inategemea na ulipo ila kwa DSM ni 30k
😂😂😂😂Huu uzi watu mnaongopeana sana,yaan uongo ni mwingi sijui hata nikanushe nini.
Huu uzi watu mnaongopeana sana,yaan uongo ni mwingi sijui hata nikanushe nini.
Yanayotoa pores ni yapi?