Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta

Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta

Mimi ninauza mafuta, hivyo nswezs kuwasaidia kiasi, kuna mafuta ya ngozi yenye matatizo na mafuta tu ya kawaida. Unaweza kuona kwenye attached
 

Attachments

  • IMG-20220526-WA0000.jpg
    IMG-20220526-WA0000.jpg
    34.5 KB · Views: 198
  • IMG-20220531-WA0001.jpg
    IMG-20220531-WA0001.jpg
    45.3 KB · Views: 191
  • IMG-20220515-WA0006.jpeg
    IMG-20220515-WA0006.jpeg
    368.4 KB · Views: 191
  • IMG-20220502-WA0001.jpg
    IMG-20220502-WA0001.jpg
    64.8 KB · Views: 204
  • IMG-20220130-WA0006.jpg
    IMG-20220130-WA0006.jpg
    39.7 KB · Views: 178
  • IMG-20220411-WA0003.jpeg
    IMG-20220411-WA0003.jpeg
    186.2 KB · Views: 192
  • IMG-20220416-WA0025.jpeg
    IMG-20220416-WA0025.jpeg
    376.1 KB · Views: 161
Habari zenu wapendwa.

Nimekua nikihangaika nipake mafuta gani usoni yasiyo na kemikali nakosa jibu. Uso wangu Mimi una mafuta rangi yangu ni brown.

Kwa ambaye ana ngozi na rangi Kama yangu akatumia kitu kikamfanya awe soft aniambie na Mimi nijaribu.

Sitaki kubadili rangi nataka niwe soft.
Msaada please.

Nawatakia Eid njema.
Unachokitafuta hakipo na hakijawahi kuwepo.
Fahamu tu, mafuta yote ni kemikali, hakuna mafuta yasiyo na kemikali.

Pili kama ngozi yako ina mafuta ya kutosha maana yake huitaji tena kuhangaika sana kutafuta mafuta ya kupaka, maana ngozi yako inajitolesheza kwa mafuta!

Mafuta yoyote yale yanayoweza kuifanya ngozi yako kuwa nyororo zaidi ya jinsi ilivyo sasa au zaidi ya vile mafuta mengine ya kawaida yanavyoweza kuifanya, hayo sio mafuta bali hicho ni kipodozi chenye kiambata cha kuchubua ngozi!

Mafuta bora zaidi kwa ngozi ni mafuta ya kupikia, mafuta ya nazi, mafuta ya mzaituni au mafuta ya kawaida ya kupaka yanayopatikana kwenye jamii nzima (kama vaseline nk) au yanayofaa kupakwa watoto wadogo.

Note
Usijidanganye kabisa kuwa wauzaji wa maduka ya vipodozi na mafuta mbalimbali wana ufahamu bora wa mafuta bora ya kukufaa wewe, wako pale kufanya biashara zaidi na lazima watakuuzia kile wanachokiuza kwa faida na kile chenye kukufanya uendelee kuja kukinunua (cosmetic addiction)
 
Ngoja niivamie message alieulizwa hayupo. Binafsi ngozi yangu ni kavu kabisa natamani nipate mafuta yatakayoifanya iwe na unyevunyevu.
Duuh hongera...mimi natafuta ya kukausha ngozi kwani nina mafuta sana usoni
 
Back
Top Bottom