4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
wazee wa mserereko , kodi za watu zikagaiwe kwa jiran bila ridhaa ya watu ?Du! Wazungu ni watu wabaya sana. Watu wapo vitani wanadundwa kila kukicha wao badala ya kuwasaidia wanawakopesha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazee wa mserereko , kodi za watu zikagaiwe kwa jiran bila ridhaa ya watu ?Du! Wazungu ni watu wabaya sana. Watu wapo vitani wanadundwa kila kukicha wao badala ya kuwasaidia wanawakopesha!
hiko ndo wengi hawaelew , tunapokosoa uvamiz hatumaanish tunamshabikia mtu fulani bali kwa utu wa kawaida tu , alichofanya Putin ni uonevu
Nakumbuka Vita vya TZ na Uganda,Tulifunga mikanda mpaka miaka ya 2000 bao nchi yetu imeendelea kusererka kwenye umasikini na madeni.Vita ni uchumi, vita ni pesa... bahati mbaya watu hawaangalii sana kwenye angle hii. Juzi waziri mkuu wa uingereza alikua Ukraine, pamoja na kutoa misaada pia walitoa mikopo mikubwa sana kwa Ukraine.
Vivyo hivyo USA na world bank wameikopesha pesa nyingi sana Ukraine, mara baada ya vita Ukraine itakua na madeni makubwa sana, pengine hayo madeni yatadumu miaka na miaka.
duh ila we jamaa mwongo!! ndo maana unashindwa hata kupangilia sentensi vizuri, maneno mengi hayasomeki vizuri kisa uongo, unakimbizana na keyboard ili uingie uzi mwingine ukaendelee kudanganya.... ila we jamaa muongoWakubwa wao ndio wameamua hivyo
Ndio maana hata Russia hana ubavu wa akiwakea vikwazo vya mafuta na gesi nchi za Magharibi pamoja na yeye kawekewa vikwazo kibao sababu akiteua za kukata hao wazalishaji na wasambazaji mafuta mababe yenye pesa uwekezaji ya nchi za Magharibi ndio hiyo hiyo mizalushaji .Hivyo Urusi yenyewe itaunia.Itazima mitambo na uzalishaji na kutimka na teknolojia zao kurudi zao nchi za Magharibi kwao.Kutakuwa na chaosi ya uzalishaji gesi na mafuta Urusi penyewe
Ndio maana Russia hathubutu kufunga koki ya bomba la mafuta au gesi kwenda hizo nchi pamoja na wao kumbamiza vikwazo barabara
Kuna kitu naona Kama kinawezekana,,, Russia anaweza kuuza mafuta yake kwenda EU kupitia India, yaani India ana import halafu ndioSasa ni wiki sita tangu vita ya Russia vs USA inayopiganiwa Ukraine ianze. Hakuna dalili ya vita hii kumalizika siku za karibuni. Na kuna uwezekano wa kugeuka kuwa vita ya kinuklia mbaya ambayo haijawahi kutokea hapa duniani.
Kabla ya vita hii, India ilikuwa inanunua asilimia 2 hadi 5% tu ya mahitaji yake ya mafuta haya kutoka Russia sawa na ambavyo USA ilivyokuwa inafanya. Asilimia kubwa iliyobaki walikuwa wanayanunua toka Saudi Arabia, Arab Emirates na Nigeria. Yale ya Iran yalipigwa ban tangia mwaka 2011 na jumuiya ya kimataifa inayoongozwa na USA.
Baada ya vita, kuanzia mwezi March mwaka huu mafuta yote ambayo India inanunua kutoka nje yanatoka Russia kwani bei yake ni zaidi ya nusu ya yale yanayotoka nchi zingine ambazo zimepandisha maradufu bei zake kwa kisingizio cha vita.
China ni wajanja zaidi. Wao wanachojali ni wapi watapata bei nafuu, hayo mengine ya kisiasa si ya muhimu hata kidogo.
Hivyo baada ya ban ya kimataifa kwa mafuta ya kutoka Iran tangia mwaka 2011 iliyopelekea mafuta ya Iran kuporomoka bei, waliendelea kuyanunua kimya kimya. China ndiyo mteja mkubwa wa mafuta ya Russia hata kabla ya vita hii. Mwaka 2021 China ilikuwa inanunua mapipa million 1.72 kwa siku. Baada ya vita mafuta yake yote inayanunua toka Russia, tena wazi wazi despite kubembelezwa na USA isifanye hivyo.
Pamoja na kelele za kisiasa zinazopigwa na nchi za Ulaya kupiga ban ununuzi wa gesi na mafuta ya Russia, ukweli ni kuwa nchi hizi zinaendelea kuyanunua kutoka Russia kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na kabla ya vita. Ukweli ni kuwa nchi hizi za ulaya haziwezi ku survive bila ya gesi na mafuta ya kutoka Russia. Zaidi ya asilimia 40% ya gesi inayotumika majumbani kwao na kwenye viwanda vyao inatoka Russia na hawana sehemu nyingine ya kuipata.
Nchi kama Ujerumani inategemea kwa asilimia 100% mahitaji yake ya gesi na mafuta toka Russia. Na kwa sababu ya kelele zao Russia imewalazimisha kununua gesi na mafuta hayo kwa pesa ya urusi inayoitwa rubles.
Hawana ujanja, wanayanunua kwa rubles kimya kimya. Bila gesi toka Russia wananchi wao watakufa nyakati za winter kwa kukosa household heating system majumbani kwao. Russia ikiamua kulifunga hilo bomba lake linalopeleka gesi na mafuta huko nchi za ulaya, viwanda vingi vya ulaya vitashindwa kufanya kazi na wananchi wao watakufa kwa baridi kwa household heating systems zao kuzimika.
Huo ndiyo ukweli. Ni jambo la muhimu na sisi tukafanya hivyo. Na tunaipongeza serikali yetu ku abstain kwenye kura huko UN security Council kama.ambavyo China na India walivyofanya kwa manufaa haya ya taifa letu.
Sasa kuna faida gani ya sisi ku abstain kwenye votes hizo? Wizara ya nishati haiwezi kukwepa kuwajibika na hali hii.
![]()
Russian Oil Continues To Flow To India And China | OilPrice.com
Despite U.S. requests to buy less Russian crude, Asian refiners continue to purchase Russian Far-East crude gradesoilprice.com
Kumbe biashara ya kokopesha n dili sanaVita ni uchumi, vita ni pesa... bahati mbaya watu hawaangalii sana kwenye angle hii. Juzi waziri mkuu wa uingereza alikua Ukraine, pamoja na kutoa misaada pia walitoa mikopo mikubwa sana kwa Ukraine.
Vivyo hivyo USA na world bank wameikopesha pesa nyingi sana Ukraine, mara baada ya vita Ukraine itakua na madeni makubwa sana, pengine hayo madeni yatadumu miaka na miaka.
Rejea Marshall plan ya ku re boost uchumi wa ulaya toka marekani. Mpaka leo ulaya anadaia na USA... ndio maana anapelekeshwa kama mjinga.
Huyu jamaa kumbe hajaacha uongo wake. Mafuta ya Urusi yanamilikiwa na Urusi kupitia kampuni Yao , ndiyo maana ana kiburi Sana na analazimisha kuuza kwa rubles. West walivyo na roho mbaya yangekuwa makampuni Yao wangeshayafunga Ili kumkomoa mrusi akose mapato.Sasa ni wiki sita tangu vita ya Russia vs USA inayopiganiwa Ukraine ianze. Hakuna dalili ya vita hii kumalizika siku za karibuni. Na kuna uwezekano wa kugeuka kuwa vita ya kinuklia mbaya ambayo haijawahi kutokea hapa duniani.
Kabla ya vita hii, India ilikuwa inanunua asilimia 2 hadi 5% tu ya mahitaji yake ya mafuta haya kutoka Russia sawa na ambavyo USA ilivyokuwa inafanya. Asilimia kubwa iliyobaki walikuwa wanayanunua toka Saudi Arabia, Arab Emirates na Nigeria. Yale ya Iran yalipigwa ban tangia mwaka 2011 na jumuiya ya kimataifa inayoongozwa na USA.
Baada ya vita, kuanzia mwezi March mwaka huu mafuta yote ambayo India inanunua kutoka nje yanatoka Russia kwani bei yake ni zaidi ya nusu ya yale yanayotoka nchi zingine ambazo zimepandisha maradufu bei zake kwa kisingizio cha vita.
China ni wajanja zaidi. Wao wanachojali ni wapi watapata bei nafuu, hayo mengine ya kisiasa si ya muhimu hata kidogo.
Hivyo baada ya ban ya kimataifa kwa mafuta ya kutoka Iran tangia mwaka 2011 iliyopelekea mafuta ya Iran kuporomoka bei, waliendelea kuyanunua kimya kimya. China ndiyo mteja mkubwa wa mafuta ya Russia hata kabla ya vita hii. Mwaka 2021 China ilikuwa inanunua mapipa million 1.72 kwa siku. Baada ya vita mafuta yake yote inayanunua toka Russia, tena wazi wazi despite kubembelezwa na USA isifanye hivyo.
Pamoja na kelele za kisiasa zinazopigwa na nchi za Ulaya kupiga ban ununuzi wa gesi na mafuta ya Russia, ukweli ni kuwa nchi hizi zinaendelea kuyanunua kutoka Russia kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na kabla ya vita. Ukweli ni kuwa nchi hizi za ulaya haziwezi ku survive bila ya gesi na mafuta ya kutoka Russia. Zaidi ya asilimia 40% ya gesi inayotumika majumbani kwao na kwenye viwanda vyao inatoka Russia na hawana sehemu nyingine ya kuipata.
Nchi kama Ujerumani inategemea kwa asilimia 100% mahitaji yake ya gesi na mafuta toka Russia. Na kwa sababu ya kelele zao Russia imewalazimisha kununua gesi na mafuta hayo kwa pesa ya urusi inayoitwa rubles.
Hawana ujanja, wanayanunua kwa rubles kimya kimya. Bila gesi toka Russia wananchi wao watakufa nyakati za winter kwa kukosa household heating system majumbani kwao. Russia ikiamua kulifunga hilo bomba lake linalopeleka gesi na mafuta huko nchi za ulaya, viwanda vingi vya ulaya vitashindwa kufanya kazi na wananchi wao watakufa kwa baridi kwa household heating systems zao kuzimika.
Huo ndiyo ukweli. Ni jambo la muhimu na sisi tukafanya hivyo. Na tunaipongeza serikali yetu ku abstain kwenye kura huko UN security Council kama.ambavyo China na India walivyofanya kwa manufaa haya ya taifa letu.
Sasa kuna faida gani ya sisi ku abstain kwenye votes hizo? Wizara ya nishati haiwezi kukwepa kuwajibika na hali hii.
![]()
Russian Oil Continues To Flow To India And China | OilPrice.com
Despite U.S. requests to buy less Russian crude, Asian refiners continue to purchase Russian Far-East crude gradesoilprice.com
Wakubwa wao ndio wameamua hivyo
Ndio maana hata Russia hana ubavu wa akiwakea vikwazo vya mafuta na gesi nchi za Magharibi pamoja na yeye kawekewa vikwazo kibao sababu akiteua za kukata hao wazalishaji na wasambazaji mafuta mababe yenye pesa uwekezaji ya nchi za Magharibi ndio hiyo hiyo mizalushaji .Hivyo Urusi yenyewe itaunia.Itazima mitambo na uzalishaji na kutimka na teknolojia zao kurudi zao nchi za Magharibi kwao.Kutakuwa na chaosi ya uzalishaji gesi na mafuta Urusi penyewe
Ndio maana Russia hathubutu kufunga koki ya bomba la mafuta au gesi kwenda hizo nchi pamoja na wao kumbamiza vikwazo barabara
Kampuni ipi?Huyu jamaa kumbe hajaacha uongo wake. Mafuta ya Urusi yanamilikiwa na Urusi kupitia kampuni Yao , ndiyo maana ana kiburi Sana na analazimisha kuuza kwa rubles. West walivyo na roho mbaya yangekuwa makampuni Yao wangeshayafunga Ili kumkomoa mrusi akose mapato.
Sibishani na wewe mtoto mdogo bishana na Chadema, Kama hujui hata kampuni ya mafuta na gesi Urusi unaandika nini?!Kampuni ipi?
Waliuana warusi kuuza kampuni za Serikali kwa mafisadi
Nitajie kampuni moja tu ya Urusi kubwa na wamiliki warusi wanamiliki asilimia ngapi? Mikampuni yao iko misoko ya hisa Marekani na Ulaya asilimia kubwa zinamilikiwa na matajiri wa zulaya na Marekani
Hiyo yako ni ipi? Na warusi wanamiliki asilimia. Ngapi?
Hata huko Saudi Arabia, Arab Emirates na Nigeria makampuni mengi yanayochimba hayo mafuta yanatoka Ulaya magharibi na USA. Makampuni haya yakiwa nchi hizo za Uarabuni na Urusi hayawi wamiliki wa hayo mafuta na gesi bali yanakuwa wajasilimali tu aka vibarua tu kwenye nchi hizo. Hawana mamlaka yo yote katika umiliki wa rasilimali hiyo na wakizengua wanatimuliwa. Rasilimali hiyo inabaki kuwa ni ya hizo nchi za kiarabu na Urusi.Kuna kitu kidogo mleta mada hukielewi
Makampuni mengi yanayouza mafuta toka Urusi ni ya nchi za Magharibi.Asilimia kubwa ya hizo pesa zinaingia benki zao za nchi za Magharibi
Ndio maana unaona hali hiyo
Ni sawa na Sisi tuwe na gesi ya mtwara kampuni inayochimba na kuuza ni ya mmarekani kwa mfano akiwa anachimba na kuuza hiyo gesi kwa ku export Marekani. Halafu Sisi Marekani akatuwekea vikwazo si rahisi kugusa gesi
Kampuni nyingi zilizoondoka Urusi za Magharibi ni zile zilizojisajili kama local company zikifanya biashara ndani ya Urusi na kulipa kodi zote ndani ya urusi
Gazprom hii kampuni ni yanani?. Acha uongo we jamaa ujue we nimtu mzima, namtu mzima kudanganya sio vizuri.Kampuni ipi?
Waliuana warusi kuuza kampuni za Serikali kwa mafisadi
Nitajie kampuni moja tu ya Urusi kubwa na wamiliki warusi wanamiliki asilimia ngapi? Mikampuni yao iko misoko ya hisa Marekani na Ulaya asilimia kubwa zinamilikiwa na matajiri wa zulaya na Marekani
Hiyo yako ni ipi? Na warusi wanamiliki asilimia. Ngapi
We jamaa muongo Sana urusi wanamiliki Rasilimali zao wenyeweKampuni ipi?
Waliuana warusi kuuza kampuni za Serikali kwa mafisadi
Nitajie kampuni moja tu ya Urusi kubwa na wamiliki warusi wanamiliki asilimia ngapi? Mikampuni yao iko misoko ya hisa Marekani na Ulaya asilimia kubwa zinamilikiwa na matajiri wa zulaya na Marekani
Hiyo yako ni ipi? Na warusi wanamiliki asilimia. Ngapi?
Hili andiko linaukweli unaouma sana..Hata huko Saudi Arabia, Arab Emirates na Nigeria makampuni mengi yanayochimba hayo mafuta yanatoka Ulaya magharibi na USA. Makampuni haya yakiwa nchi hizo za Uarabuni na Urusi hayawi wamiliki wa hayo mafuta na gesi bali yanakuwa wajasilimali tu aka vibarua tu kwenye nchi hizo. Hawana mamlaka yo yote katika umiliki wa rasilimali hiyo na wakizengua wanatimuliwa. Rasilimali hiyo inabaki kuwa ni ya hizo nchi za kiarabu na Urusi.
Ila makampuni haya yakiwa nchi za Afrika yanajimilikisha rasilimali hizi na kuwa zao. Nchi za Afrika zinanyang'anywa kabisa rasilimali hizi na kubaki zina angalia tu makampuni haya yakipora bure rasilimali hizi na hawana cha kufanya. Mfano mzuri ni nchi ya Nigeria ambayo ni ya kwanza Afrika katika uzalishaji wa mafuta haya kwenye bara la Afrika. Lakini mafuta karibu yote yanayozalishwa Nigeria hupelekwa ulaya na makampuni haya. Mafuta yanayotumika nchini Nigeria yote wanayanunua kutoka nje (import) kwa bei ya juu sana kama sisi Tanzania tusio na mafuta. Na sasa hivi Nigeria inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mafuta haya despite serikali yao kutenga mabillion ya dola kama subsidy kwenye mafuta haya ili kupunguza kupanda kwa bei ya mafuta baada ya vita hii ya Urusi na Ukraine.
Hata sisi huku Tanzania, hii gesi yetu tulishanyang'anywa na hiyo kampuni inayoichimba huko Songosongo. Wao ndiyo wanatupangia bei na sasa hivi itakuwa inapelekwa Kenya kwa bomba.
Hana haja ya kufanya hivyo. EU wanaifuata wenyewe huko Russia na kuinunua kwa rubles badala ya dola. Na muda si mrefu rubles ndiyo itakuwa sarafu ya dunia badala ya dola ya USD. Hata hiyo dola ya USD ilipata hadhi hii kupitia biashara ya mafuta, kwa jina.jingine ni petrodollar. Sasa itakuwa ni petroruble.Kuna kitu naona Kama kinawezekana,,, Russia anaweza kuuza mafuta yake kwenda EU kupitia India, yaani India ana import halafu ndio
anafanya export
Nakumbuka Vita vya TZ na Uganda,Tulifunga mikanda mpaka miaka ya 2000 bao nchi yetu imeendelea kusererka kwenye umasikini na madeni.
Kisaeti ''Regime Change in Uganda'' Hatimae Nyerer alifanikiwa kumiondoa serikali ya Amin na Kuweka Kibaraka wake Obote , lakini Hali yetu kiuchumi ilikuwa Taabani sana.
Nadhani naye Mrusi ana plan ya ''Regeme change in ukrain'' kwa maslahi mapana ya usalama na uchumi a Urusi, kama Marekani alivyofanya Irak na Libya.
Hiindiyo dunia ya Maguvu na Ubabe.
Kla la Heri urusi,
Lakini nadhani Huyu Raisi wa Ukrain angelisarenda mapema kabla nchi yake haijageuzwa Jivu. akubali kuresighn na kuruhusu mrusi aweke Kibaraka mwingine watakayeendana kimkakati.
Hebu itazameni venezuela, Ilivyovurugwa na USA wakati ni matajiri wakubwa kwa kuchimba mafuta.
H ndivyo dunia ilivyo.
Wahanga ni sisi wanonge.!!!!!!!!!!!!
Kuna kitu kidogo mleta mada hukielewi
Makampuni mengi yanayouza mafuta toka Urusi ni ya nchi za Magharibi.Asilimia kubwa ya hizo pesa zinaingia benki zao za nchi za Magharibi
Ndio maana unaona hali hiyo
Ni sawa na Sisi tuwe na gesi ya mtwara kampuni inayochimba na kuuza ni ya mmarekani kwa mfano akiwa anachimba na kuuza hiyo gesi kwa ku export Marekani. Halafu Sisi Marekani akatuwekea vikwazo si rahisi kugusa gesi
Kampuni nyingi zilizoondoka Urusi za Magharibi ni zile zilizojisajili kama local company zikifanya biashara ndani ya Urusi na kulipa kodi zote ndani ya urusi
Angalia shareholders tusiende mbali na kama yako soko la hisa za kimataifa au la jibu hilo swali wako masoko ya hisa ya kimataifa au la? Jeuri ya kampuni za Urusi ilikuwa masoko ya hisa ya kimataifaMakampuni gani yanayo uza gesi ya Urusi toka Magharibi?
Labda kwa kukusaidia Gazprom, Tatneft, Lukoil, rusneft. Haya ndio makampuni makubwa ya Kirusi ya mafuta.
Lakini ukizungumzia Schlumberger, Halliburton na Wentworth haya ni makampuni yanayotoa huduma tu kwenye industry.
Badala ya kujibu hoja unatoka nje ya mada? Acha assumption.Angalia shareholders tusiende mbali na kama yako soko la hisa za kimataifa au la jibu hilo swali wako masoko ya hisa ya kimataifa au la? Jeuri ya kampuni za Urusi ilikuwa masoko ya hisa ya kimataifa
Je yanauza hisa na hisa zao au kununuliwa masoko ya hisa ya kimataifa au la ? Ndio utajua kwa nini nchi za Magharibi zimekataa kampuni zote za Urusi kushiriki soko la hisa la masoko yao sababu wanasema pesa wanazo raise masoko yao zinaondoa ku finance war machines za Urusi na kufinance vita Ukraine kuwa masoko yao hawataki kuwa part ya financing za war machines za Russia wamezipiga marufuku kushiriki masoko ya hisa nchi za Magharibi
Hisa zao zimedondoka chini hasa hakuna foreign buyers or sellers. Soko la hisa la ndani la hizo kampuni limedondoka kila mrusi anataka kuuza hisa buyers hawapo
Wauza hisa kibao wanunuzi hamna hata hamna