peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Baada ya bei mpya kutangazwa jana, leo asubuhi, mafuta yamejaa kila kituo cha mafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama ni hivyo kutakuwa na unafuu wa maisha kwa walala hoi ambao ni wengi? Tukiitwa manyani eti tunamaind.Wafanya biashara, wakisha jipenyeza katika sehemu muhimu za kimaamuzi Serikalini.. matokeo mala nyingi huwa si mazuri
Acheni kumuonea jamaa. Alishatoka huko. Sijui hii wizara mpya aliyoenda kama inaupigaji ukilinganisha aliyotoka
unapata wapi nguvu ya kumaind.. na huku huna ubavu wowote 😅😅😅... ni kutulia tuSasa kama ni hivyo kutakuwa na unafuu wa maisha kwa walala hoi ambao ni wengi? Tukiitwa manyani eti tunamaind.
Hakuna kitu kinauma zaidi kuumia kimya kimya. Ikija kulipuka unajikuta unakunya hadharani pale posta askari monument mbele ya kadamnas halafu unajiua. Kuiachia serikali laana kali. Bora kumaindi tuu.unapata wapi nguvu ya kumaind.. na huku huna ubavu wowote 😅😅😅... ni kutulia tu
Kwa Tanzania, naonaga wao wenyewe watakuja kuuana huko juu.. na ndio utakuwa ukombozi wa nchi.. ila wananchi wa wake wengi tumezoea kuishi maisha ya kinafiki.. tunaongeee weee ila ikifika wakati wa vitedo kila mtu anakula kona yake 😅😅Hakuna kitu kinauma zaidi kuumia kimya kimya. Ikija kulipuka unajikuta unakunya hadharani pale posta askari monument mbele ya kadamnas halafu unajiua. Bora kumaindi tuu
Its so inhumane to see your fellow citizens suffering just because of your selfishness. This is not right at all.Yeye ndo kasababisha haya matatizo yaliyopo.
What if watoa maamuzi na wao wana vituo vyao?Huu uhuni serikali iweke msimamo wa haraka aisee,
Ukikuta mtu kaficha mafuta fungia kwa miaka hata miwili na fine kubwaaaaa
Ulkua mtihani wa kwanza kwa biteko