Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
Utajifungia mwenyewe? Wafanyabiashara ndio hao hao watunga sheria na wasimamizi wa sheria. Ndio haohao waliowaweka mfukoni, wafadhili wakubwa wa CCM. Usitegemee jema lolote kutoka kwa serikali inayoendeshwa kihuni kama Janjaweed.Huu uhuni serikali iweke msimamo wa haraka aisee,
Ukikuta mtu kaficha mafuta fungia kwa miaka hata miwili na fine kubwaaaaa
Tatizo kubwa zaidi ni generation hii ya vinana wa hovyo wasioona tatizo kwenye huu upuuzi unaoendelea. Vinana wa vyuo vikuu, wasomi hawawezi kuhoji, hawawezi kuanzisha mijadala ya kitaifa inayohusu leo na kesho yao. UCHAWA ndio kitu pekee kinachopendwa.