Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

Wafanyabiashara ya mafuta wote ni wahujumu uchumi wakishirikiana na EWURA. Nawaza tu wiki ya mwisho ya mwezi JWTZ wachukue vituo vyote vya kuuza mafuta na kulazimisha mafuta yauzwe.
 
Huu uhuni serikali iweke msimamo wa haraka aisee,
Ukikuta mtu kaficha mafuta fungia kwa miaka hata miwili na fine kubwaaaaa
Aliekwambia Sio wao ni nani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi kwa akili yako kuna kapukuu wa simiyu huko anaweza ficha mafuta.???
 
Wauza mafuta ni wao na pia wapanga bei ni hao hao unazani kitatokea nini hapo
 
Michongo ya watawala, kama sio michongo yao ilibidi wale waliofunga Sheri kwamba hakuna mafuta alafu Leo ghafla yame patikana wakamatwe wahojiwe wame yatoa wapi na wakati hadi jana hawakua nayo
 
Michongo ya watawala, kama sio michongo yao ilibidi wale waliofunga Sheri kwamba hakuna mafuta alafu Leo ghafla yame patikana wakamatwe wahojiwe wame yatoa wapi na wakati hadi jana hawakua nayo
Ndio haohao...
Wazuri na wabaya ni haohao🎶🎶🎶🎵🎶
 
Back
Top Bottom