Utajifungia mwenyewe? Wafanyabiashara ndio hao hao watunga sheria na wasimamizi wa sheria. Ndio haohao waliowaweka mfukoni, wafadhili wakubwa wa CCM. Usitegemee jema lolote kutoka kwa serikali inayoendeshwa kihuni kama Janjaweed.Huu uhuni serikali iweke msimamo wa haraka aisee,
Ukikuta mtu kaficha mafuta fungia kwa miaka hata miwili na fine kubwaaaaa
Nani wa kuweka huo msimamo?Huu uhuni serikali iweke msimamo wa haraka aisee,
Ukikuta mtu kaficha mafuta fungia kwa miaka hata miwili na fine kubwaaaaa
Ila Maza sometimes anaboa kinoma noma,sijui Kwa kua yeye anagharamiwa Kila kitu!!!dahhhWafanya biashara, wakisha jipenyeza katika sehemu muhimu za kimaamuzi Serikalini.. matokeo mala nyingi huwa si mazuri
Ila Maza sometimes anaboa kinoma noma,sijui Kwa kua yeye anagharamiwa Kila kitu!!!dahhh
Mama anapewa mikakati , yeye anapitisha tu, hapa ndipo ambapo shida ipo na lawama zote zamfata yeye. Ofisi ya Rais sio kitu chepesi kama hukuandaliwa kwa miaka na miaka.. kikiangukia kwa bahati mbaya lazima kikutoe kamasi hasa kwa nchi zetu za ki africa.. ambazo tunaendesha mambo mru anapojisikiaIla Maza sometimes anaboa kinoma noma,sijui Kwa kua yeye anagharamiwa Kila kitu!!!dahhh
Wahujumu wakubwa ni serikali wenyewe hata sio wafanyabiashara.....haka kamama kanajifanyaga kuzima vitu vya maana vikiwekwa waziWanaohujumu mafuta ya Petroli ni serikali wenyewe,CCM ni mafisadi hawafai kuwa madarakaniπ
View attachment 2740638
Hata kama jamani yaani yeye yupo ka sanamu kaahhMama anapewa mikakati , yeye anapitisha tu, hapa ndipo ambapo shida ipo na lawama zote zamfata yeye. Ofisi ya Rais sio kitu chepesi kama hukuandaliwa kwa miaka na miaka.. kikiangukia kwa bahati mbaya lazima kikutoe kamasi hasa kwa nchi zetu za ki africa.. ambazo tunaendesha mambo mru anapojisikia
Bei ndogoBaada ya bei mpya kutangazwa jana, leo asubuhi, mafuta yamejaa kila kituo cha mafuta.
π π π si tuna muita mama.. na je ? ulishwai kuona mama ni katili kwa wanawe .. Tuishi nao tu hakuna namna.. kama unapata mlo wa kila siku inatosha , mengine maajaliwa ya Mwenyezi Mungu..Hata kama jamani yaani yeye yupo ka sanamu kaahh
tupa mbali kabisa.
Aliweza Magu Sio Hawa wafanyabiasharaHuu uhuni serikali iweke msimamo wa haraka aisee,
Ukikuta mtu kaficha mafuta fungia kwa miaka hata miwili na fine kubwaaaaa