PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
porojoKesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena.
Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani wakiendelea na maisha yenye faraja kutoka kwa serikali zao zinazojali watu wake.
Maadui hawa wa kijani baada ya kushiba pesa za masikini wametuhimiza kwenda kujazana uwanjani kushangilia timu ya taifa
Znz bei ya mafuta iko palepale haijapanda lkn huku utumwani tunalipia madeni Yao ili waishi maisha Bora.
Kwahiyo bei inabidi ishuke kati ya 800 mpaka 900..Nimeskia ya Dunia yameshuka asilimia 22+
Toka lini shetani alikuwa na huruma na wewe?Yabapandaje wakati duniani bei imeshuka kwa asilimia 22
gentleman umeshapata urojo?porojo
kwetu hawajui kushusha wanajua kupandisha. Point yao wamenunua mzigo bei ikiwa juuNimeskia ya Dunia yameshuka asilimia 22+
wenye chuma za 3.5L petrol kwenda juu ni mwendo wa 😏😏Hafu bado tu? Hawajatangaza?