Mafuta yanaenda kupanda tena kuanzia kesho

Mafuta yanaenda kupanda tena kuanzia kesho

Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena.

Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani wakiendelea na maisha yenye faraja kutoka kwa serikali zao zinazojali watu wake.

Maadui hawa wa kijani baada ya kushiba pesa za masikini wametuhimiza kwenda kujazana uwanjani kushangilia timu ya taifa

Zanzibar bei ya mafuta iko palepale haijapanda lkn huku utumwani tunalipia madeni Yao ili waishi maisha Bora.
Kamlaumu Baba yako Nyerere kwa kuvamia nchi za watu na kuuwa maelfu ya watu , leo karma inawapiga kila upande , endeleeni kusaga meno , si mlikuwa mkifurahia uvamizi , hayo ndiyo matunda ya mti alioupanda baba au babu yenu Nyerere, mtayala
 
Kamlaumu Baba yako Nyerere kwa kuvamia nchi za watu na kuuwa maelfu ya watu , leo karma inawapiga kila upande , endeleeni kusaga meno , si mlikuwa mkifurahia uvamizi , hayo ndiyo matundaya mti alioupanda baba au babu yenu Nyerere, mtayala
Huyu Mzee alikosea Sana kuunganisha UJINGA na wazanzibar..Mimi namlaumu sanaa Kwa hili
 
Back
Top Bottom