Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Hadi tunyooke sio!!! Hatari sana
Hadi tunyooke sio!!! Hatari sana
Hahahaha 😂😂😂gentleman umeshapata urojo?
Nissan Fugawenye chuma za 3.5L petrol kwenda juu ni mwendo wa 😏😏
kuna ile mi nissan ina 4 ++ alafu petrol 😅😅Nissan Fuga
Au Crown Majestakuna ile mi nissan ina 4 ++ alafu petrol 😅😅
Crown majesta latest ni hybrid na zina jiko la 3.5L ukiachana na majesta za zamani enzi ya mwalimuAu Crown Majesta
Ukiona shetani anakuhurumia angalia vizuri ulipo simama.Toka lini shetani alikuwa na huruma na wewe?
5 km/L😅😅😅 kuna wenzetu wana 4.4L Bi-Turbo
Kumbe Libya mafuta kwa sent 50 ya bongo unapata lita
Dunia inashangaza
Mi ukiniambia Majesta, naiona hii 4.3L V8 ya gear 8, zile za S180 au S200.Crown majesta latest ni hybrid na zina jiko la 3.5L ukiachana na majesta za zamani enzi ya mwalimu
Majesta GWS214 umeme mwingi na burdan la kutosha mzeee.. 4.3L V8 utawala , ujue wamefanya kuhama tu kama walivyotoka kwenye LC200 kuja LC300Mi ukiniambia Majesta, naiona hii 4.3L V8 ya gear 8, zile za S180 au S200.
Hybrid za S210 takataka. Kubwa madhani V6
SIENDESHI GARI LENYE UREFU WA MITA 5. NEVER!!!!Majesta GWS214 umeme mwingi na burdan la kutosha mzeee.. 4.3L V8 utawala , ujue wamefanya kuhama tu kama walivyotoka kwenye LC200 kuja LC300
DahZanzibar bei ya mafuta iko palepale haijapanda lkn huku utumwani tunalipia madeni Yao ili waishi maisha Bora.
IT anajiuliza apandishe mkeka auNgoja pakuche
Kwanini mzeee 😊SIENDESHI GARI LENYE UREFU WA MITA 5. NEVER!!!!