Wajinga ndio waliwao!Na serikali inaweza kuruka na hii fursa ikasema yeye ndo alihusika na mauaji ya October 29. Wanaweza muongeza kwenye report ya Chande faster. Amekua anatumika vibaya bila kujua. Mjinga sana.
He will be alone pale maboss watakampo mtupa ili kujisafisha from those sins.View attachment 3592975
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili uliopitiliza. Aliongoza magenge yaliyofanya mateso, utekaji nyara, na mauaji ya kinyama dhidi ya wapigania uhuru na wapinzani wa mfumo. Leo nchini Tanzania, shutuma nzito zinazomkabili Afisa wa Polisi Faustine Jackson Mafwele zinamfanya afananishwe kwa karibu sana na de Kock.
Kama vile de Kock alivyotumia mamlaka yake kutesa na kuondoa watu waliopinga utawala wake, Mafwele amekuwa akituhumiwa kuendesha magenge ya siri yanayohusika na utekaji, mateso, na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati na wapinzani. Mifano ya hivi karibuni, ikiwemo ukatili na mateso ya kingono dhidi ya wanaharakati, imemlazimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kuweka vikwazo rasmi dhidi yake. Tabia hii ya kujiona uko juu ya sheria na kutumia "jeshi ndani ya jeshi" kufanya usafirishaji haramu na kupiga risasi raia inafanana kabisa na mbinu chafu za Vlakplaas.
Ujumbe kwa Faustine Mafwele ni mfupi na ulio wazi: Muda wa uwajibikaji unakuja. Eugene de Kock aliamini kuwa alikuwa akilindwa na serikali yake, lakini mfumo ulipoanguka, alihukumiwa vifungo viwili vya maisha na miaka 212 jela kwa makosa dhidi ya binadamu. Baada ya mwaka 2030, wakati mabadiliko ya kisiasa na kisheria yatakaposhika kasi, kinga zote zitafutika. Hakuna mamlaka itakayokulinda dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) au sheria za ndani. Machozi ya raia yatakugeuka kuwa pingu, na utaishia gerezani kama de Kock, ukiwa mfano wa jinsi ukatili unavyomalizika kwa aibu kuu.
SidhaniView attachment 3592975

Hakika, yeye anaangalia masilahi ya leo tuNa serikali inaweza kuruka na hii fursa ikasema yeye ndo alihusika na mauaji ya October 29. Wanaweza muongeza kwenye report ya Chande faster. Amekua anatumika vibaya bila kujua. Mjinga sana.
Sikubaliani na wale hooligans kwa kile walichokifanya dhidi ya malibya umma na za watu binafsi.Ni maajabu imebidi niangalie hii ID mara mbili kwamba ni wewe umetoka mbele hatimaye kukemea huyu kibaka.
Wewe ulikua mstari wa mbele kusifia majambazi wa huyu Mafwele walioua watu wasiokuwa silaha ukidai walikua ni wezi waliolua wanaiba maduka na kuchoma gas station.
Nikakuuliza na Master Tindwa na Sheikh Sharif Majini waliopigwa risasi vibarazani majumbani kwao nao waliiba maduka au kuchoma gas station?
Pia ni wapi adhabu ya kuchoma gas station au kuiba duka inawapa nafasi polisi kupiga watu risasi, mmejikanyaga majibu ya tume ya Chande na Machande ikasema waandamanaji mara walikua na silaha mara walikua na mafunzo yote ni hogwash tu.
Una habari kwamba waliouwawa wengi ni ambao hawakuwepo hata kwenye maandamano?Sikubaliani na wale hooligans kwa kile walichokifanya dhidi ya malibya umma na za watu binafsi.
Siamini nahisi kuna mahali umeguswa kama sio ndugu basi mtu wako wa karibu.Sikubalini pia na anachofanya Mafwele, ninazo nyuzi nyingine pia nikim attack Mafwele kwa unyama wake.
Una sympathise hata na Polepole? Me not! Huyo ni muasisi wa siasa chafu kipindi cha MagufuliUna habari kwamba waliouwawa wengi ni ambao hawakuwepo hata kwenye maandamano?
Kama una shaka kuhusu hilo jiulize kwanini hakuna takwimu "halisi" hadi leo.
Siamini nahisi kuna mahali umeguswa kama sio ndugu basi mtu wako wa karibu.
Udhalimu hauna rangi, Polepole angeambiwa kuwa atatekwa 2020 wala asingeamini angeona ni "vijidrama" kama Samuya alivyosema leo ni miezi 6 imepita tangu wammalize kama walivyokua wanamwambia Djumbe anapelekwa kumalizwa.
Sijasympathise najaribu kukukumbusha pia kwamba nae hakuamini kukemea utekaji hadi napo kikundi kilekile kilipomteka yeye.Una sympathise hata na Polepole? Me not! Huyo ni muasisi wa siasa chafu kipindi cha Magufuli
Eugene De Kock aliachiwa kwa msamaha wa masharti (parole) tarehe 30 Januari 2015, baada ya kutumikia miaka 20 gerezani. Serikali ilieleza kuwa ni kwa ajili ya kuleta maridhiano ya kitaifa.Uyo jamaa wa sauz mbna kashaachiwa huru sasa
Mh hii thread ni wewe mkuu, au umehackiwa?View attachment 3592975
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili uliopitiliza. Aliongoza magenge yaliyofanya mateso, utekaji nyara, na mauaji ya kinyama dhidi ya wapigania uhuru na wapinzani wa mfumo. Leo nchini Tanzania, shutuma nzito zinazomkabili Afisa wa Polisi Faustine Jackson Mafwele zinamfanya afananishwe kwa karibu sana na de Kock.
Kama vile de Kock alivyotumia mamlaka yake kutesa na kuondoa watu waliopinga utawala wake, Mafwele amekuwa akituhumiwa kuendesha magenge ya siri yanayohusika na utekaji, mateso, na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati na wapinzani. Mifano ya hivi karibuni, ikiwemo ukatili na mateso ya kingono dhidi ya wanaharakati, imemlazimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kuweka vikwazo rasmi dhidi yake. Tabia hii ya kujiona uko juu ya sheria na kutumia "jeshi ndani ya jeshi" kufanya usafirishaji haramu na kupiga risasi raia inafanana kabisa na mbinu chafu za Vlakplaas.
Ujumbe kwa Faustine Mafwele ni mfupi na ulio wazi: Muda wa uwajibikaji unakuja. Eugene de Kock aliamini kuwa alikuwa akilindwa na serikali yake, lakini mfumo ulipoanguka, alihukumiwa vifungo viwili vya maisha na miaka 212 jela kwa makosa dhidi ya binadamu. Baada ya mwaka 2030, wakati mabadiliko ya kisiasa na kisheria yatakaposhika kasi, kinga zote zitafutika. Hakuna mamlaka itakayokulinda dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) au sheria za ndani. Machozi ya raia yatakugeuka kuwa pingu, na utaishia gerezani kama de Kock, ukiwa mfano wa jinsi ukatili unavyomalizika kwa aibu kuu.
Yeye sio amiri jeshi mkuu, na kitendo cha Amiri kuunga mkono hilo jambo ni ishara kwamba anakubaliana nalo na ndiye muhusika mkuuNa serikali inaweza kuruka na hii fursa ikasema yeye ndo alihusika na mauaji ya October 29. Wanaweza muongeza kwenye report ya Chande faster. Amekua anatumika vibaya bila kujua. Mjinga sana.
Sijawahi kumtetea muuaji yeyote awe Mafwele au Makonda. Tafuta text yangu yeyote inayotetea wauaji hawaWazee wa kuunganisha dots.. Tumemtuhumu Mafwele peke yake bila kumtaja anayemtuma. Mafwele hatoboi 2029
Huyu kijaakazi wa wauwaji naona anaanza kutoswa. Ukishaona inafikia hatua mtetezi wa wauwaji bwana Stuxnet anaanza kuleta mada za kuwatema baadhi ya wauwaji jua lipo jambo
Kwahiyo Makonda nae ni muuaji? Hii nchi Rais anamteua hadi muuaji ila yeye umtaji kama muuaji?Sijawahi kumtetea muuaji yeyote awe Mafwele au Makonda. Tafuta text yangu yeyote inayotetea wauaji hawa