Mafwele, soma historia ya Eugene de Kock, polisi katili wa enzi za ubaguzi Afrika Kusini

Mafwele, soma historia ya Eugene de Kock, polisi katili wa enzi za ubaguzi Afrika Kusini

Kwahiyo Makonda nae ni muuaji? Hii nchi Rais anamteua hadi muuaji ila yeye umtaji kama muuaji?
Mbona Tundu Lissu mwenyewe kamtaja kuwa ndiye aliyeongoza kikosi cha kutaka kumuua Dodoma 2019. Kwani nani alimpoteza Ben saanane, usijifanye hujui
 
View attachment 3592975
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili uliopitiliza. Aliongoza magenge yaliyofanya mateso, utekaji nyara, na mauaji ya kinyama dhidi ya wapigania uhuru na wapinzani wa mfumo. Leo nchini Tanzania, shutuma nzito zinazomkabili Afisa wa Polisi Faustine Jackson Mafwele zinamfanya afananishwe kwa karibu sana na de Kock.

Kama vile de Kock alivyotumia mamlaka yake kutesa na kuondoa watu waliopinga utawala wake, Mafwele amekuwa akituhumiwa kuendesha magenge ya siri yanayohusika na utekaji, mateso, na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati na wapinzani. Mifano ya hivi karibuni, ikiwemo ukatili na mateso ya kingono dhidi ya wanaharakati, imemlazimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kuweka vikwazo rasmi dhidi yake. Tabia hii ya kujiona uko juu ya sheria na kutumia "jeshi ndani ya jeshi" kufanya usafirishaji haramu na kupiga risasi raia inafanana kabisa na mbinu chafu za Vlakplaas.

Ujumbe kwa Faustine Mafwele ni mfupi na ulio wazi: Muda wa uwajibikaji unakuja. Eugene de Kock aliamini kuwa alikuwa akilindwa na serikali yake, lakini mfumo ulipoanguka, alihukumiwa vifungo viwili vya maisha na miaka 212 jela kwa makosa dhidi ya binadamu. Baada ya mwaka 2030, wakati mabadiliko ya kisiasa na kisheria yatakaposhika kasi, kinga zote zitafutika. Hakuna mamlaka itakayokulinda dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) au sheria za ndani. Machozi ya raia yatakugeuka kuwa pingu, na utaishia gerezani kama de Kock, ukiwa mfano wa jinsi ukatili unavyomalizika kwa aibu kuu.
Lakini cha ajabu wewe bado ni chawa wa mama mkishindana na Lucas Msandambwa, umechanganyikiwa
 
Lakini cha ajabu wewe bado ni chawa wa mama mkishindana na Lucas Msandambwa, umechanganyikiwa
Hatuwezi kuwa na fikra sawa ndiyo maana wewe waitwa kunguni wa Tundu na mimi Stuxnet. Huo ndiyo uhuru wa maoni unaotambulika kikatiba
 
now you throw him under the bus baada ya kumtumia vya kutosha mmemtoa kafara, kila siku mnakumbushwa never trust muslims wa tanzagiza besides kwa nini bosi wake ambaye ni raisi hakumfuta kazi kama alikuwa katili na kutesa watu mpaka USA umuwekee vikwazo? …
Tena wamempandisha cheo kutoka ACP,kuwa SACP!
 
Ni maajabu nimeona leo , imebidi niangalie hii ID mara mbili kwamba ni wewe umetoka mbele hatimaye kumkemea huyu kibaka.

Wewe ulikua mstari wa mbele kusifia majambazi wa huyu Mafwele walioua watu wasiokuwa silaha ukidai walikua ni wezi waliolua wanaiba maduka na kuchoma gas station.

Nikakuuliza na Master Tindwa na Sheikh Sharif Majini waliopigwa risasi vibarazani majumbani kwao nao waliiba maduka au kuchoma gas station?

Pia ni wapi adhabu ya kuchoma gas station au kuiba duka inawapa nafasi polisi kupiga watu risasi, mmejikanyaga majibu ya tume ya Chande na Machande ikasema waandamanaji mara walikua na silaha mara walikua na mafunzo yote ni hogwash tu.

Ngoja nikukumbushe pia na niungane na wewe kukuongezea mfano mwingine najua na Mafwele yumo humu anachungulia atauona.

Wakati wa tukio la 9/11 , rais George Bush alikwenda shule ya awali kama kampeni ya uhamasishaji watoto kusoma makamu wake Dick Cheney yeye alikuwepo around Washington sasa wakati zile ndege 4 zimetekwa nyara na mbili zimegonga maghorofa pacha na moja kupiga Pentagon ikaonekana makamu wa rais akafichwe kwenye handaki mojawapo salama pale White House , na baadae ndege mamlaka ya anga ikasitisha ndege zote zilizokua ziko angani zitue hadi pale hali itakapokua sawa.

Ile ndege ya 4 rubani alizima transponder ila uelekeo wake waliiona ikielekea Washington target tarajiwa ilikua White House wakati huo huo rais Bush akapanda ndege ya rais akiwa angani ikabidi afanye mawasiliano na makamu wa rais lakini kukawa na kuchelewa.

Basi kamanda mmoja wa Navy akamuuliza makamu wa rais tufanye nini hii ndege iliyopo hewani imeshabaki kama target baada ya ndege zingine kuambiwa zitue akajibiwa itungueni , ikabidi yule kamanda aulize mara nyingi sana kiasi kwamba hata makamu wa rais akaingia wasiwasi ndipo akabidi amtafute rais tena ndio atoe order ya mwisho kuwa sasa kwakua anga limefungwa na ndege za kijeshi ndio zinaruhusiwa tu basi hiyo ni target itungueni.

Sasa najua utajiuliza kwanini huyo kamanda wa navy aliyekua zamu hakwenda kuitungua ndege ile mara moja baada ya kupewa amri na makamu wa rais.

Jibu ni kwamba makamu wa rais hayuko katika "military chain of command" hivyo hawezi kutoa amri ya kijeshi bali rais ndio alitakiwa atoe maana yake ingetokea ndege ile iliyokua na raia wa Marekani imetunguliwa kwa amri haramu basi makamu wa rais na makamanda wangetakiwa kuwajibika.

Hivyo tunarudi pale pale kukubali amri haramu sio utetezi wa kisheria , sheria ikikufikia huna utetezi kwamba ulipewa amri na mkubwa wako hata kama hakua anastahili kutoa amri hiyo.

Mafwele ni killer machine ya Samuya amefanya matukio mengi haramu kwa amri ya wakubwa wake na mengine kafanya tu kutokana na bravado aliyojijengea kwamba hakuna wa kumgusa maana ana siri zao nyingi.

Nauona mwisho wa Mafwele , na mwisho mwenyewe ni MBAYA!
Huyu mtoa mada simuelewi, SI Yuko upande wa Mufwele
 
Huyu ni mfuasi ya Samuya pekee ambaye nimebahatika kumsoma akikataa kumuunga mkono Mafwele na genge lake waziwazi.
Ok, ngoja nimtumie alichojutia huyo jamaa wa Afrika ya kusini na yupo hai Hadi Leo alitolewa Kwa parole,Kuombea msamaha Kwa familia ya Bheki Mlangeni:There is no greater punishment than to have to live with the consequences of the most terrible deed with no_one to forgive you."For me,even My own death can't compare".Majuto!
 
Wauaji huishi kwa tabu sana, Idd Amin baada ya kukimbilia Saudi Arabia alipewa makazi na huduma zote muhimu za hadhi ya juu kutokana na hadhi yake ila bado kuna vitu vilikua vinamtesa hadi mara kwa mara akidanganya anaenda katika safari binafsi kumbe anataka kuingia Uganda kupitia njia za panya mpaka pale serikali ya Saudi Arabia ilipompiga mkwara akirudia tena watamtelekeza akamatwe akashtakiwe ndio ikabidi atulie.
 
Huyu Mufwele anayemkosoa Jamaa,huku anamkubali Samuya,hapo simuelewi!
 
Huyu mtoa mada simuelewi, SI Yuko upande wa Mufwele
Sina upande, na hilo ndiyo tatizo kubwa la watu humu. Sijawahi hata siku moja kuunga mkono vitendo vya Mafwele. Kama una post moja uliyoiona iweke hapa
 
Huyu ni mfuasi ya Samuya pekee ambaye nimebahatika kumsoma akikataa kumuunga mkono Mafwele na genge lake waziwazi.
Mkuu Matrix19 mbona hata Samia nilikwisha andika nyuzi za kumkosoa? Labda tofauti yangu na wewe ni lugha ninayotumia isiyo na matusi na falsafa yangu ya kutaka kutatua mambo kwa dialogue badala ya vurugu
 
Chache sana ninaamini hazifiki hata 10.

Mimi nimetumia matusi humu?
 
Huyu Mufwele anayemkosoa Jamaa,huku anamkubali Samuya,hapo simuelewi!
Tofautisha mtu na taasisi. Samia ndiye aliyewafutia ukimbizi akina Tundu, Godbless Lema, Mbowe etc. Pia ndiye aliyeuhusu mikutano ya vyama iendelee na kuwapa ruzuku CDM na kuwaachia wafungwa wote waliokuwa magerezani kwa kesi za kubambika wakati wa Magufuli

Kinyume chake hao aliowarudisha kutoka ukimbizini ndiyo wakaanza kubeza 4R na kuporpkosha matusi. Hapo ndipo "Taasisi" ikachukua nafasi. Pigia mstari neno taasisi
 
Sina upande, na hilo ndiyo tatizo kubwa la watu humu. Sijawahi hata siku moja kuunga mkono vitendo vya Mafwele. Kama una post moja uliyoiona iweke hapa
Baada ya 2030 labda akafanye face surgery au ahame nchi
Vipi Samuya anayempa maelekezo,kumwezesha kifedha, kumlinda etc katika utekelezaji wake wa utekaji na mauaji ya wapinzani na watu wasiokubaliana naye, maoni yako boss
 
Vipi Samuya anayempa maelekezo,kumwezesha kifedha, kumlinda etc katika utekelezaji wake wa utekaji na mauaji ya wapinzani na watu wasiokubaliana naye, maoni yako boss
Katiba ya JMT inamlinda Rais kwa maamuzi yake akiwa ofsini
 
Tofautisha mtu na taasisi. Samia ndiye aliyewafutia ukimbizi akina Tundu, Godbless Lema, Mbowe etc. Pia ndiye aliyeuhusu mikutano ya vyama iendelee na kuwapa ruzuku CDM na kuwaachia wafungwa wote waliokuwa magerezani kwa kesi za kubambika wakati wa Magufuli

Kinyume chake hao aliowarudisha kutoka ukimbizini ndiyo wakaanza kubeza 4R na kuporpkosha matusi. Hapo ndipo "Taasisi" ikachukua nafasi. Pigia mstari neno taasisi
Sasa Huyu Mufwele Yuko juu ya Samuya, kelele zote za kina sativa nk,Hadi USA wamemfungia kukanyaga huko , Yeye Sa
Tofautisha mtu na taasisi. Samia ndiye aliyewafutia ukimbizi akina Tundu, Godbless Lema, Mbowe etc. Pia ndiye aliyeuhusu mikutano ya vyama iendelee na kuwapa ruzuku CDM na kuwaachia wafungwa wote waliokuwa magerezani kwa kesi za kubambika wakati wa Magufuli

Kinyume chake hao aliowarudisha kutoka ukimbizini ndiyo wakaanza kubeza 4R na kuporpkosha matusi. Hapo ndipo "Taasisi" ikachukua nafasi. Pigia mstari neno taasisi
Kuwarudisha ukimbizini,Haina Maana wawe wafungwa wa ndani,wasihoji anapoteleza,na kukimbia kwao SI kwamba walikuwa na makosa ni mababu na kutotenda Haki Kwa utawala uliopita dhidi ya Wapinzani!
 
Back
Top Bottom