Mafwele, soma historia ya Eugene de Kock, polisi katili wa enzi za ubaguzi Afrika Kusini

Mafwele, soma historia ya Eugene de Kock, polisi katili wa enzi za ubaguzi Afrika Kusini

Baada ya mwaka 2030, wakati mabadiliko ya kisiasa na kisheria yatakaposhika kasi, kinga zote zitafutika. Hakuna mamlaka itakayokulinda dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) au sheria za ndani. Machozi ya raia yatakugeuka kuwa pingu, na utaishia gerezani kama de Kock, ukiwa mfano wa jinsi ukatili unavyomalizika kwa aibu kuu.
2030 tena ?.
 
wanajiuaga hawa mara paaap bingwa lissu anatangazwa
Kwa mifumo ya nchi za Afrika hasa kipindi kama hiki, ni vigumu Tundu kuwa kupata Urais wa Tanzania. Watu walio kwenye mfumo, watafanya kila wawezalo kuzuia. Elewa neno "mfumo"
 
Kwa mifumo ya nchi za Afrika hasa kipindi kama hiki, ni vigumu Tundu kuwa kupata Urais wa Tanzania. Watu walio kwenye mfumo, watafanya kila wawezalo kuzuia. Elewa neno "mfumo"
Mfumo huo umefeli , unaofikili kutobadilishwa Sheria za uchaguzi na kuteka ,kuua ,kupoteza ndo nguzo za ushindi ccm

mkuu ,sahau hilo tena
 
Kukiwa na katiba mpya,Tume huru
Mfumo huo umefeli , unaofikili kutobadilishwa Sheria za uchaguzi na kuteka ,kuua ,kupoteza ndo nguzo za ushindi ccm

mkuu ,sahau hilo tena
Huru ya uchaguzi,mfumo unahusikaje Tena?
 
Back
Top Bottom