Mafwele, soma historia ya Eugene de Kock, polisi katili wa enzi za ubaguzi Afrika Kusini

Kwahiyo Makonda nae ni muuaji? Hii nchi Rais anamteua hadi muuaji ila yeye umtaji kama muuaji?
Mbona Tundu Lissu mwenyewe kamtaja kuwa ndiye aliyeongoza kikosi cha kutaka kumuua Dodoma 2019. Kwani nani alimpoteza Ben saanane, usijifanye hujui
 
Lakini cha ajabu wewe bado ni chawa wa mama mkishindana na Lucas Msandambwa, umechanganyikiwa
 
Lakini cha ajabu wewe bado ni chawa wa mama mkishindana na Lucas Msandambwa, umechanganyikiwa
Hatuwezi kuwa na fikra sawa ndiyo maana wewe waitwa kunguni wa Tundu na mimi Stuxnet. Huo ndiyo uhuru wa maoni unaotambulika kikatiba
 
Tena wamempandisha cheo kutoka ACP,kuwa SACP!
 
Huyu mtoa mada simuelewi, SI Yuko upande wa Mufwele
 
Huyu ni mfuasi ya Samuya pekee ambaye nimebahatika kumsoma akikataa kumuunga mkono Mafwele na genge lake waziwazi.
Ok, ngoja nimtumie alichojutia huyo jamaa wa Afrika ya kusini na yupo hai Hadi Leo alitolewa Kwa parole,Kuombea msamaha Kwa familia ya Bheki Mlangeni:There is no greater punishment than to have to live with the consequences of the most terrible deed with no_one to forgive you."For me,even My own death can't compare".Majuto!
 
Wauaji huishi kwa tabu sana, Idd Amin baada ya kukimbilia Saudi Arabia alipewa makazi na huduma zote muhimu za hadhi ya juu kutokana na hadhi yake ila bado kuna vitu vilikua vinamtesa hadi mara kwa mara akidanganya anaenda katika safari binafsi kumbe anataka kuingia Uganda kupitia njia za panya mpaka pale serikali ya Saudi Arabia ilipompiga mkwara akirudia tena watamtelekeza akamatwe akashtakiwe ndio ikabidi atulie.
 
Huyu Mufwele anayemkosoa Jamaa,huku anamkubali Samuya,hapo simuelewi!
 
Huyu mtoa mada simuelewi, SI Yuko upande wa Mufwele
Sina upande, na hilo ndiyo tatizo kubwa la watu humu. Sijawahi hata siku moja kuunga mkono vitendo vya Mafwele. Kama una post moja uliyoiona iweke hapa
 
Huyu ni mfuasi ya Samuya pekee ambaye nimebahatika kumsoma akikataa kumuunga mkono Mafwele na genge lake waziwazi.
Mkuu Matrix19 mbona hata Samia nilikwisha andika nyuzi za kumkosoa? Labda tofauti yangu na wewe ni lugha ninayotumia isiyo na matusi na falsafa yangu ya kutaka kutatua mambo kwa dialogue badala ya vurugu
 
Chache sana ninaamini hazifiki hata 10.

Mimi nimetumia matusi humu?
 
Huyu Mufwele anayemkosoa Jamaa,huku anamkubali Samuya,hapo simuelewi!
Tofautisha mtu na taasisi. Samia ndiye aliyewafutia ukimbizi akina Tundu, Godbless Lema, Mbowe etc. Pia ndiye aliyeuhusu mikutano ya vyama iendelee na kuwapa ruzuku CDM na kuwaachia wafungwa wote waliokuwa magerezani kwa kesi za kubambika wakati wa Magufuli

Kinyume chake hao aliowarudisha kutoka ukimbizini ndiyo wakaanza kubeza 4R na kuporpkosha matusi. Hapo ndipo "Taasisi" ikachukua nafasi. Pigia mstari neno taasisi
 
Sina upande, na hilo ndiyo tatizo kubwa la watu humu. Sijawahi hata siku moja kuunga mkono vitendo vya Mafwele. Kama una post moja uliyoiona iweke hapa
Baada ya 2030 labda akafanye face surgery au ahame nchi
Vipi Samuya anayempa maelekezo,kumwezesha kifedha, kumlinda etc katika utekelezaji wake wa utekaji na mauaji ya wapinzani na watu wasiokubaliana naye, maoni yako boss
 
Vipi Samuya anayempa maelekezo,kumwezesha kifedha, kumlinda etc katika utekelezaji wake wa utekaji na mauaji ya wapinzani na watu wasiokubaliana naye, maoni yako boss
Katiba ya JMT inamlinda Rais kwa maamuzi yake akiwa ofsini
 
Sasa Huyu Mufwele Yuko juu ya Samuya, kelele zote za kina sativa nk,Hadi USA wamemfungia kukanyaga huko , Yeye Sa
Kuwarudisha ukimbizini,Haina Maana wawe wafungwa wa ndani,wasihoji anapoteleza,na kukimbia kwao SI kwamba walikuwa na makosa ni mababu na kutotenda Haki Kwa utawala uliopita dhidi ya Wapinzani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…