Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

Wewe jamaa Acha kutupiga fix. Mamlaka za Urusi zimesema hadi sasa hakuna kundi lililokiri kuhusika na shambulio hilo. Ila mtu mmoja anashikiliwa kwa kushukiwa kuhusika na kadhia hiyo.
 
Sio kweli. Mpaka sasa akuna Kikundi wala Nchi iliyosema kuwa inahusika.Japo kuna watu wamekamatwa kwa kuhusishwa na tukio hili zaidi soma Major terrorist attack at Moscow concert hall: What we know so far
 
unawazidi CNN
CNN waliotudanganya kuwa kutakuwa na kimbunga Jobo ambacho kingeisambaratisha Dar es Salaam...kumbe uongo na na nadhani muda kidogo ikakamatwa shehena ya tani za Madawa ya kulevya... kwenye njia hiyo walioeleza kimbunga kitapita...!!!

Hatujasahau. Trump alisema CNN ni fake NEWS!! Rais wa Marekani huwezi kumtilia mashaka akieleza jambo la ndani ya nchi yake
 
Kwa hiyo wewe Mmatumbi umevimbiwa daku huko unaona unawazidi CNN kwa taarifa....
Usitukane CNN wana mamia ya Fake News.
RT news Ambao wapo Urusi na ni Chombo cha Serikali wanakanusha wewe Mwijaku wa JF una force tukuamini pimbi mkubwa wewe .Video Clip ndani ya Ukumbi magaidi wakiuwa watu attached
 

Attachments

  • ssstwitter.com_1711134674141.mp4
    286.3 KB
  • IMG_4992.jpeg
    127 KB · Views: 3
  • IMG_4994.png
    190.3 KB · Views: 3

Haya kama umewazidi CNN kwa ujuaji, je utawazidi na Aljazeera hawa wa dini yenu kabisa? At least 60 killed, more than 145 injured in attack on Moscow concert hall
 
Mimi concern yangu pekee ni hao magaidi kufanikiwa kutoroka salama eneo la tukio.

Mtafutano wake utakuwaje? Ngoja tuone.
Kama hao magaidi wametoroka salama hiyo ni fedheha/aibu kwa vyombo vya Usalama vya Urusi.

T14 Armata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…