Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa Acha kutupiga fix. Mamlaka za Urusi zimesema hadi sasa hakuna kundi lililokiri kuhusika na shambulio hilo. Ila mtu mmoja anashikiliwa kwa kushukiwa kuhusika na kadhia hiyo.Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........
Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake
ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead
ISIS has claimed responsibility for an attack at a popular concert venue complex near Moscow Friday that left at least 40 dead and more than 100 wounded after assailants stormed the venue with guns and incendiary devices.
The terror group took responsibility for the attack in a short statement published by ISIS-affiliated news agency Amaq on Telegram on Friday. The group did not provide evidence to support the claim.
Video footage from the site of the attack, the Crocus City Hall concert venue, shows the vast complex, which is home to both the music hall and a shopping center, on fire with smoke billowing into the air. State-run RIA Novosti reported the armed individuals “opened fire with automatic weapons” and “threw a grenade or an incendiary bomb, which started a fire.” They then “allegedly fled in a white Renault car,” the news agency said.
State media Russia 24 reported the roof on the venue has partially collapsed.
The attack unfolded before the music group Picnic was set to perform, according to Russia 24. The band’s manager told state media that the performers were unharmed.
The Russia Prosecutor General’s Office said: “Unidentified people in camouflage broke into Crocus City Hall and started shooting before the start of the concert,” according to TASS.
Taarifa ya Awali: Urusi yakumbwa na shambulio la kigaidi jijini Moscow, Watu kadhaa wanasadikika kuuawa
We kaa kimya, kipigo cha mbwa mwizi kinaandaliwa huko.Putin mwenyewe ndiye Kima!
Miliki wa hayo makundi ni US.
Sio kweli. Mpaka sasa akuna Kikundi wala Nchi iliyosema kuwa inahusika.Japo kuna watu wamekamatwa kwa kuhusishwa na tukio hili zaidi soma Major terrorist attack at Moscow concert hall: What we know so farWametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........
Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake
ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead
ISIS has claimed responsibility for an attack at a popular concert venue complex near Moscow Friday that left at least 40 dead and more than 100 wounded after assailants stormed the venue with guns and incendiary devices.
The terror group took responsibility for the attack in a short statement published by ISIS-affiliated news agency Amaq on Telegram on Friday. The group did not provide evidence to support the claim.
Video footage from the site of the attack, the Crocus City Hall concert venue, shows the vast complex, which is home to both the music hall and a shopping center, on fire with smoke billowing into the air. State-run RIA Novosti reported the armed individuals “opened fire with automatic weapons” and “threw a grenade or an incendiary bomb, which started a fire.” They then “allegedly fled in a white Renault car,” the news agency said.
State media Russia 24 reported the roof on the venue has partially collapsed.
The attack unfolded before the music group Picnic was set to perform, according to Russia 24. The band’s manager told state media that the performers were unharmed.
The Russia Prosecutor General’s Office said: “Unidentified people in camouflage broke into Crocus City Hall and started shooting before the start of the concert,” according to TASS.
Taarifa ya Awali: Urusi yakumbwa na shambulio la kigaidi jijini Moscow, Watu kadhaa wanasadikika kuuawa
Sio kweli. Mpaka sasa akuna Kikundi wala Nchi iliyosema kuwa inahusika.Japo kuna watu wamekamatwa kwa kuhusishwa na tukio hili zaidi soma Major terrorist attack at Moscow concert hall: What we know so far
Subiri uchunguzi ufanyike. Usiwe na harakataarifa kwenye mtandao
Hawa jamaa hawanaga jema.ISIS kweli? Matilaba yao ni nini hasa? Wana nini dhidi ya Urusi?
CNN waliotudanganya kuwa kutakuwa na kimbunga Jobo ambacho kingeisambaratisha Dar es Salaam...kumbe uongo na na nadhani muda kidogo ikakamatwa shehena ya tani za Madawa ya kulevya... kwenye njia hiyo walioeleza kimbunga kitapita...!!!unawazidi CNN
kwenye
Leta link ya hiyo Telegram account!taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba
Ugomvi wao chanzo ni SYRIA, urusi miaka yote anamsaidia rais assady, kuwaangamiza hao jamaa!!, huku USA, akiwa upande wao lakini ni huko syria tu.ISIS kweli? Matilaba yao ni nini hasa? Wana nini dhidi ya Urusi?
Usitukane CNN wana mamia ya Fake News.Kwa hiyo wewe Mmatumbi umevimbiwa daku huko unaona unawazidi CNN kwa taarifa....
CNN waliotudanganya kuwa kutakuwa na kimbunga Jobo ambacho kingeisambaratisha Dar es Salaam...kumbe uongo na na nadhani muda kidogo ikakamatwa shehena ya tani za Madawa ya kulevya... kwenye njia hiyo walioeleza kimbunga kitapita...!!!
Hatujasahau. Trump alisema CNN ni fake NEWS!! Rais wa Marekani huwezi kumtilia mashaka akieleza jambo la ndani ya nchi yake
Usitukane CNN wana mamia ya Fake News.
RT news Ambao wapo Urusi na ni Chombo cha Serikali wanakanusha wewe Mwijaku wa JF una force tukuamini pimbi mkubwa wewe .Video Clip ndani ya Ukumbi magaidi wakiuwa watu attached
Ni balaaMimi concern yangu pekee ni hao magaidi kufanikiwa kutoroka salama eneo la tukio.
Mtafutano wake utakuwaje? Ngoja tuone.
Nyie Warusi wa Tandahimba acheni kuwachonganisha Putin na Biden.Wamelipwa ili kuja kuzuga eeh sisi tunajua ni Biden na vibaraka wake ndio wanahusika.
Sijajua why Unashabikia sana hawa Islamic State . Au wewe ni mmoja wao??Haya kama mumewazidi CNN kwa ujuaji, je mtawazidi na Aljazeera hawa wa dini yenu kabisa? At least 60 killed, more than 145 injured in attack on Moscow concert hall
Kama hao magaidi wametoroka salama hiyo ni fedheha/aibu kwa vyombo vya Usalama vya Urusi.Mimi concern yangu pekee ni hao magaidi kufanikiwa kutoroka salama eneo la tukio.
Mtafutano wake utakuwaje? Ngoja tuone.