Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yaani wewe mmatumbi huku bongi unajua zaidi kuliko intelligence agencies kubwa huku duniani? Wabongo bwana dream on 🤣Wamelipwa ili kuja kuzuga eeh sisi tunajua ni Biden na vibaraka wake ndio wanahusika.
CNN wanadanganyaHaya kama umewazidi CNN kwa ujuaji, je utawazidi na Aljazeera hawa wa dini yenu kabisa? At least 60 killed, more than 145 injured in attack on Moscow concert hall
Kuna watu humu hata kujitafutia habari ili kujua kinachoendelea duniani hawawezi. Na wakisaidiwa na kuletewa habari pia bado wanazipinga.Haya kama umewazidi CNN kwa ujuaji, je utawazidi na Aljazeera hawa wa dini yenu kabisa? At least 60 killed, more than 145 injured in attack on Moscow concert hall
RUSSIAN MEDIA REJECTS SPECULATION THAT ISIS WAS BEHIND TERRORIST ATTACKUrusi na ISIS wamekua na vita vya muda mrefu sana, kumbuka Urusi waliwapiga kwa cruise missiles pale Deir Ezzor na kuua ISIS zaidi ya 600.
Endelee kulishana uharo Urusi kawambia msitulete upuuzi sisi ndiyo tumeshambuliwa na sisi ndiyo tunafanya uchunguzi msitulazimishe kiarahisi hivyo kuwa waliofanya hilo tukio ni Isis, picha limeanza washukiwa walikuwa wamebandika ndevu waache KGB wafanye kazi yao.Kuna watu humu hata kujitafutia habari ili kujua kinachoendelea duniani hawawezi. Na wakisaidiwa na kuletewa habari pia bado wanazipinga.
Haya hii ina warakini Shekhe wangu: ni Zabibu Nyeupe Vichungi 72 na Sio Mabikira 72..😁Mnapaswa muwahishwe kwa mabikira 72...
CNN wanadanganya
Sijakataa kutokea kwa shambulio huko Moscow,Russia. Ninachokataa ni CNN kuja na hitimisho la kuwa ni IS walilofanya ugaidi bila ushindi usiotiliwa shaka.Nimekuwekea Al jazeera ya waislamu At least 60 killed, more than 145 injured in attack on Moscow concert hall
Wamekamatwa muda huu walikuwa wanatorokea nchini TajikistanNa bado wahuni wamefanikiwa kutoroka tena kwa Gari.
On Saturday, a spokesperson for Russia's Investigative Committee said it was too early to say anything about the fate of the attackers, state news agency RIA reported.…Nimekuwekea Al jazeera ya waislamu At least 60 killed, more than 145 injured in attack on Moscow concert hall
Kama Israel na USA wanaweza kuwarubuni waarabu na kutengeneza makundi ya kigaidi basi hawa waarabu ni wajinga sana...
Ushahidi uko wapi?Wamekamatwa muda huu walikuwa wanatorokea nchini Tajikistan
Unalishwa propaganda na wewe unameza tu unaamini hao waliofanya hayo mauiji ni Isis?Ila watakapo anza kusakwa na kupewa kichapo kikali wataanza kulia lia.Russia ile nchi ina watu wanapenda vita hao isis wamechokoza mzinga wa nyuki tujipe mda tu wa kuanza kuona nundu.
Ushahidi uko wapi?