Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

Urusi na ISIS wamekua na vita vya muda mrefu sana, kumbuka Urusi waliwapiga kwa cruise missiles pale Deir Ezzor na kuua ISIS zaidi ya 600.
RUSSIAN MEDIA REJECTS SPECULATION THAT ISIS WAS BEHIND TERRORIST ATTACK

The attackers were 'Slavs, above average height, probably using fake beards and mustaches', and were likely part of the Ukraine-backed 'Russian Volunteer Corps'

- Kommersant, one of Russia's largest newspapers.

Endelea kudanganya mapunguani wenzako,
 
Kuna watu humu hata kujitafutia habari ili kujua kinachoendelea duniani hawawezi. Na wakisaidiwa na kuletewa habari pia bado wanazipinga.
Endelee kulishana uharo Urusi kawambia msitulete upuuzi sisi ndiyo tumeshambuliwa na sisi ndiyo tunafanya uchunguzi msitulazimishe kiarahisi hivyo kuwa waliofanya hilo tukio ni Isis, picha limeanza washukiwa walikuwa wamebandika ndevu waache KGB wafanye kazi yao.
 

Attachments

  • IMG_5004.jpeg
    IMG_5004.jpeg
    52 KB · Views: 2
  • IMG_5003.jpeg
    IMG_5003.jpeg
    307.2 KB · Views: 2
Ila watakapo anza kusakwa na kupewa kichapo kikali wataanza kulia lia.Russia ile nchi ina watu wanapenda vita hao isis wamechokoza mzinga wa nyuki tujipe mda tu wa kuanza kuona nundu.
 
Eleven People Including Four Terrorists Directly Involved in Attack Detained – FSB Head to Putin


The investigation that will reveal the “support base” of terrorists in underway – Kremlin.
 
Back
Top Bottom