Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

Mbona na wewe unapinga sana wasiwe ISIS, kwani wakiwa ISIS sijui ISIL ndo inakuwaje?
 
Kama hao magaidi wametoroka salama hiyo ni fedheha/aibu kwa vyombo vya Usalama vya Urusi.

T14 Armata
Wamekamatwa wawili raia wa Tajikistan wakiwa kwenye gari mji wa mbali kidogo. Na kwenye hilo gari wanne wamekimbia bado wanatafutwa.

Sikudhani kwa ilivyoonekana jamaa watatoroka, nilihisi watajitoa mhanga. Alafu magaidi walikuwa wanafanya matukio kwa speed ndogo na kujiamini kwingi. Ukiona magaidi ndani ya Israel wanavyokuwa na kasi ni hatari, ukijichelewesha tu mwanamke mwenye kitambi naye anajua shahaba amekumaliza, maaskari wapo faster sana kutoa response. Hata shootings za Marekani unakuta mtu anakuja na AR-15 ni automatic. Sasa hawa afadhali walikuja na silaha weak la sivyo madhara yangekuwa mengi zaidi.
 
Inaonyesha upeo wako ni mdogo sana , hivi unadhani putin ana akili kama zako ?ameweza kupigana na western world yote kwa mpigo asijue nani aliyehusika na hili shambulio ?grow up bro
 
Kuna kipindi Putin alikua anatembeza kipigo kwa hayo magaidi ya dini yenu, nilikua namkubali sana jamaa kwenye hilo.....
Aliwahi kusema kazi yake ni kuwawahisha kwa allah wenu...

Na sisi waislamu tunaomba isis iangamizwe kwenye uso wa dunia na kila mwenye akili anajua isis ni kina nani wewe tu ambaye hujui kugikiria ndio unabaki kusubiri cnn ikwambie
 

Mbona umekomalia CNN, nimekuletea ya kwenu Al Jazeera bado umeng'ang'ania
Haya hii hapa nimekuletea Al Arabiya News https://english.alarabiya.net/News/...nd-blast-reported-at-concert-hall-near-Moscow
 
Inaonyesha upeo wako ni mdogo sana , hivi unadhani putin ana akili kama zako ?ameweza kupigana na western world yote kwa mpigo asijue nani aliyehusika na hili shambulio ?grow up bro
Kwahiyo Putin alijua watafanya shambulizi, akawaacha waue, akawaacha watoroke kisha yuko anahangaika kuwatafuta?
 
Hamasi wamemkung'uta huyo mnafiki Putin.

Anajifanya hawapendi NATO lakini ameshindwa kusaidia Hamas.

Ile inteligensia kali na FSB wako wapi?

Tena wamepigwa Down Town kabisa.

Imeprove kumbe Putin anawezekan sema wanamlea tu😂😂
Hii kitu imetokea kwa surprise sasa kwann useme putin anawezekana.? Au unadhani kila mahali kuna ulinzi, mbona USA nae anapigwa kwa style hiyo.
 
From the American people
 
Kwahiyo Putin alijua watafanya shambulizi, akawaacha waue, akawaacha watoroke kisha yuko anahangaika kuwatafuta?
Yupo vitani na western world yote na kashinda uchaguzi kwa zaidi ya 80% kitu ambacho west hawakukipenda
Putin anajua kwamba west wote wameungana kutaka kumtoa kwa namna yoyote ile, na west hawatokubali russia patulie , isis kama ni waislamu kweli kwa nini waishambulie urusi wakati urusi amekuwa rafiki na mataifa ya kiislamu for ages?
ISis hawajawahi kuwa waislamu na hawana interests na waislamu ni kikundi ambacho wamiliki wake kama una akili utawajua na putin anawajua isis kuliko mimi na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…