Magaidi wa Hamas wakijipanga upya kuivamia Israel ikiwatumia watoto zaidi!!

Magaidi wa Hamas wakijipanga upya kuivamia Israel ikiwatumia watoto zaidi!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vibaya kwenye uvamizi wao wa Oct 07,2023 sasa magaidi hao wanajiandaa upya kwa Oct 7 nyingine!!

Safari hii inawatoa kafara vijana na watoto wadogo ili wakafe SHAHIDI wakiaminishwa wataenda kukabidhiwa Mabikira 72 wawabikiri na kuwa huko watakuta Mito yenye Pombe kwa hiyo huko watakuwa na kazi mbili tu.
1. Kubikiri wale Mabikira 72 na 2. Kunywa Pombe kwa raha zao

Pichani utawaona wengine ni watoto wadogo kabisa wameaminishwa uongo na wakauamini!!
 

Attachments

  • In_Gaza,_Hamas_is_training_the_next_generation_of_terrorists_They.mp4
    4.7 MB
Yani wazee wa kubazi nuksi kweli. Kutumia watoto wao wakibakia kula raha z Dunia.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Wakithubutu tu safari hii watamalizwa wote hao watoto na wanawake wanaowageuza ngao hawatapona.
 
Na kuna wavaa kobazi wanakazana kusema Israel inauwa wanawake na watoto ila kuhoji kwanini hawa Hamas wanakwenda eneo la vita na watoto na wanawake wakiwatumia kama ngao?

Wavaa kobazi natamani wapelekwe wote kule Iran,iraq na Saudia wakaishi na viumbe wanaowatetea as if ni wema na watakatifu.
 
Back
Top Bottom