Magaidi wa Houth warusha kombola Israel tena!

Magaidi wa Houth warusha kombola Israel tena!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.

IMG_2878.jpeg

 

Attachments

  • telegram-cloud-document-2-5273927420934648449.mp4
    1.4 MB
Baadhi ya Mabaki ya kombola la balistiki lililopopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel
 

Attachments

  • IMG_2883.jpeg
    IMG_2883.jpeg
    173.9 KB · Views: 35
  • IMG_2882.jpeg
    IMG_2882.jpeg
    121 KB · Views: 35
Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Hawa wanataka nchi yao iwe jangwa hawakomi tu lile la kwanza walipga kidogo airport, walitaka kukagua mabomu yenu sasa washajua yametengenezwaje wakiamua muamke mmelala ni jambo la lisaa tu
 
Lengo ni kudisturb aviation industry ya mzayuni(laanah tullah) that's good job
 
Hawa wanataka nchi yao iwe jangwa hawakomi tu lile la kwanza walipga kidogo airport, walitaka kukagua mabomu yenu sasa washajua yametengenezwaje wakiamua muamke mmelala ni jambo la lisaa tu
Hakuna ndege kwenda ben gurion airport
 
Wakiwaishwa kwenda kula Bikra wanaanza kulalamika watoto na wanawake wanauawa 😂
 
Hawa wanataka nchi yao iwe jangwa hawakomi tu lile la kwanza walipga kidogo airport, walitaka kukagua mabomu yenu sasa washajua yametengenezwaje wakiamua muamke mmelala ni jambo la lisaa tu
Acha weweeee nusu saaa tu usisaau waisrael adi sasa wapo mashimoni kama panya buku..!!!
 
Hiii Mizungu lazima itokomeee tu Palestina ilikuwa kisiwa cha Aman !!!!

lkn tangu aya Mazungu Magaid mashoga yamejazana pale maaeneo Matakatifu kwasasa mji wote umekuwa kama mji uliolaaaniwa na Mungu!!!!

mji unanuka maiti za wafu kila seem..

Yemen ongeza MOTO kenge maji yatafutane kwenye Mashimo..!!!!!

akuna kucheka na Wavamizi !!!

yatalala kwenye mashimo kama panya au mende!!
siku nyengine Wajue kuvamia Ardhi zawatu ni ukichaaa na nusu.,
 
Endelea kuwadanganya wajinga na wapumbavu!!
Mpumbavu gani apeleke ndege ktk Uwanja Uliogeuzwa ngoma na Myemen!!!!! Kwasaaa mashilika yanayotoa uduma zaid niyao. Wenyewe. MASHILIKA makubwa yote yamesusa!!!!
 
Akuna maisha uko nchi ya Sodoma ali ni tete yani watu ata chooni awaendi kwa Aman upo chooni mara king,ora kinaita cha Hatari kutwa kukimbizana na rohoo isichomoke!!!!!

maisha gani wanaishi awajamaaa km sio watu w kawaida !!!

Embu waone mbio mbio zao kwani kwenu kumepigwa Nuclear!!!!!
 
Watazame maisha yao!!!!!
 

Attachments

  • 6055889-bf7b44b41a1200a1719a851edba5892d.mp4
    6.8 MB
Back
Top Bottom