Israel imeweka miundombinu ya usalama pindi hali ya hatari inatokea ndani ya dakika 15 uweze kwenda sehemu salama hilo ni jambo Jema sana( Safety First ) ulivyo zuzu ulitaka wasiende sehemu salama?Akuna maisha uko nchi ya Sodoma ali ni tete yani watu ata chooni awaendi kwa Aman upo chooni mara king,ora kinaita cha Hatari kutwa kukimbizana na rohoo isichomoke!!!!!
maisha gani wanaishi awajamaaa km sio watu w kawaida !!!
Embu waone mbio mbio zao kwani kwenu kumepigwa Nuclear!!!!!
Safi sana inaonyesha wanajali maisha yao kuliko kuogelea kwenye fukwe!!!Watazame maisha yao!!!!!