Akuna maisha uko nchi ya Sodoma ali ni tete yani watu ata chooni awaendi kwa Aman upo chooni mara king,ora kinaita cha Hatari kutwa kukimbizana na rohoo isichomoke!!!!!
maisha gani wanaishi awajamaaa km sio watu w kawaida !!!
Embu waone mbio mbio zao kwani kwenu kumepigwa Nuclear!!!!!