Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

View: https://twitter.com/MaimunkaNews/status/1772012972279230730?t=gi2GnWRBZgZ3QaQl7LnY_w&s=19

Mwengine huyo! Sijui inakuwaje amekuwa hivyo! Ameshindwa kabisa kutembea, wamemleta hivyo hivyo!

Hao jamaa ni batch ya ex-Isis fighters waliopo Ukraine. Utaalam wao wa kupanga na kutumia silaha unaonesha wana mafunzo ya kutosha.

Hiyo Report ni ya mwaka 2022
 
Hao jamaa ni magaidi ila wanapenda hela. Maana ISIS waliwapa na mabomu ya kujilipua ili wafe. Inaonekana hawakuyavaa au kuyatumia. Walikuwa wana njaa ya hela.

Pia kunatetesi kwenye jeshi la Ukraine kuna watu walikuwa wapiganaji wa zamani wa ISIS-K ndio inaonekana walipanga nao tukio. Ndio maana walikuwa wanataka kukimbilia Ukraine kwa washkaji wao. Maana hao jamaa 4 ni wazoefu wa kutumia silaha, je utaalam huo waliutoa wapi? Uwezo wa kupanga mauaji waliutoa wapi?
Hizo tetesi binafsi nilizisikia kwenye vyanzo tofauti vya habari.

Ila nafikiri mpaka Alhamisi tutakuwa tumeshapata majibu halisi baada ya uchunguzi kukamilika. Ila waliyohusika kwa sasa tumbo ni joto. Warusi wanauwa kikatili sana halafu wanabaki kimya! Kuongea mtaongea wengine ila wao kama hawajui kinachoendelea.
 
Wale waliokaririshwa ni ISIS na Al qaida ni waislamu, sijui huko walipo wana hali gani! Imeloa MK254
Hao ni waislamu. Majina ya kiislam ya Eastern Europe huwa yanafanana na ya Kirusi. Hao jamaa ni kutoka nchi ya Tajikistan ambayo ina waislamu wengi tu.

Hili tukio ni collabo ya ISIS na Ukraine.

Kuna report ya mwaka 2022 kuwa kuna wapiganaji wengi sana wa ISIS wanapigana upande wa Ukraine
 
Hao jamaa ni batch ya ex-Isis fighters waliopo Ukraine. Utaalam wao wa kupanga na kutumia silaha unaonesha wana mafunzo ya kutosha.

Hiyo Report ni ya mwaka 2022
Sasa na hapa ndiyo tunapata jawabu kamili Isis ipo chini ya nani!

Na jawabu lipo wazi! Isis ipo chini ya West.
 
Hizo tetesi binafsi nilizisikia kwenye vyanzo tofauti vya habari.

Ila nafikiri mpaka Alhamisi tutakuwa tumeshapata majibu halisi baada ya uchunguzi kukamilika. Ila waliyohusika kwa sasa tumbo ni joto. Warusi wanauwa kikatili sana halafu wanabaki kimya! Kuongea mtaongea wengine ila wao kama hawajui kinachoendelea.
Huo uchunguzi ukikamilika, hao jamaa watakuwa hoi bin taaban.
 
Sasa na hapa ndiyo tunapata jawabu kamili Isis ipo chini ya nani!

Na jawabu lipo wazi! Isis ipo chini ya West.
Hizo ni biashara za watu. Wameona kuna gepu la kuradicalize watu kupitia "udhaifu" wa msahafu wakapita na hiyo fursa ili wapige hela kwenye vita.

Sasa mtu ana kiwanda cha silaha, kama hakuna vita yeye atakula wapi?
 
Ndo naona apo dgo la 2005 duh balaa sana
Ni mdogo ana miaka 19, kazaliwa mji unaitwa Ivanovo nchi ya Tajikistan, watu wa mtaani kwake wanasema ni kinyozi mzuri tena mpole, ila alipotea muda mrefu kwenda kupata "ilimu ya Dini". Ndio wanashangaa wanamuona anafanya mauaji ya watu Moscow.

Shida ni hiyo "Ilim"
 
Nataman ningekua huko ningewakata kiungo kimoja kimoja na kichoma nyama zao huku Nina chumvi pembeni

Mzungu nyama nyama yake kama ya afande mkatoliki
 
Ni mdogo ana miaka 19, kazaliwa mji unaitwa Ivanovo nchi ya Tajikistan, watu wa mtaani kwake wanasema ni kinyozi mzuri tena mpole, ila alipotea muda mrefu kwenda kupata "ilimu ya Dini". Ndio wanashangaa wanamuona anafanya mauaji ya watu Moscow.

Shida ni hiyo "Ilim"
Kibongo bongo tunachukulia poa sana, ila hili ni funzo hawa madogo wanaotoweka Tanga na mtwara tusichukulie poa aisee
 
Back
Top Bottom