Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Walikuwa washapewa advance, kama $2500. Walipiga mahesabu kuwa wanaweza kufanya tukio na kutoroka wakamalizie $2500 iliyobakia.
Yaani malipo ya kazi yote hiyo ya kishetani kwa milioni 12 kwa kila mmoja hivi walitumia akili gani pasipo kuwaza endapo watakamatwa !!!

Hao watateswa kwa miaka mingi sana na kila watakapoonekana na ishara za kufa watatibiwa kwa gharama yeyote ile ili mateso yaendelee tena baadae
 
Back
Top Bottom